Ulishawahi kula tunda kimasihara?
kuna dem na dem ambae unamsaidia halafu kamani papuchu aje akupe yeye kwa hiyari yake.kuna mtoto mmoja nilishawai kumsaidia tu kwa nilichoweza kiasi cha kurisk vitu nilivyokua navyp geto lakini sikujali.

alikua mtoto flani aged kama 16yrs hivi.inavyoonekana alikua ametoka kwao(mkoani) kuja kutafuta kazi yoyote hapa mjini pasipo kumjua mtu yoyote(japo sina uhakika kama hakuwai kuishi dar kabla).

siku hio alifika kwenye nyumba ambayo kwa asilimia 99 tuliopanga ni vijana.alipofika akaanza kumuulizia mtu/jina la mtu ambae kwenye ile nyumba hatambuliki.basi mimi nkaenda zangu kazini ilikua shift ya mchana kwahio sikujua nini kiliendelea.

wakati narudi mida ya kama sa tano na nusu usiku namkuta yule dem amelala nje kajibanza kwenye kikolido flani na baadhi ya wapangaji ni wadada, walichomsaidia ni kumpa kanga tu yakujifunika(nadhani walihofia kulala na mtu ndani wasiomjua).mbu walikua wengi nkamuonea huruma.

nikamwambia twende ukalale chumbani kwangu alisitasita nkamlazimisha akakubali,na ni kweli yale mazingira alipolala yalikua magumu.tulipofika ndani nkawaza tulale wote nimle?
hapana huruma ilinijia kwa kuwaza kua huyu ana shida kwahio anaweza akaridhia kufanya chochote kwasababu tu hana namna,kwaio haitokua jambo jema kwa mtu unaejali ubinadamu.

kiukweli nilimwambia aende akaoge,akaenda akarudi nkampa chakula nilichokua nimepika akala.nikamwambia wewe sasa lala hapa mim naenda kulala chumba cha nyuma(kwa jamaa angu tunaefanya nae kazi).
basi na mimi nikala nikabadilisha nguo mbaka natoka mule ndani yule binti alikua ameshalala inaonekana alikua na usingizi sana.

kwa kuhofia kumsumbua ilinibidi nifunge mlango kwa nje,japo asubuhi yeye aliniambia ulidhani ntakuibia nikitoka(ilikua katika hali ya utani).
nashukuru kuna mdada mmoja anafanya kazi yakuuza chakula katika mgahawa wake akamchukua ili aanze kushinda nae na akampeleka awe analala kwa rafiki ake mtaa mwingine

sijajua mbaka sasa anaendeleaje kwasababu nilikuja kuhama mwezi mmoja baadae pale nilipokua kutokana na vibarua vyetu.
Mkuu tenda wema nenda zako utalipwa na Mola
 
Demu: mm huwasitumii kondomu mafuta yake yananiwasha...

Hii statement sio nzuri kwa afya

Ilikua mwaka jana kunamdada alinipigia simu anakuja kunisalimia maana hatukuwa tumeonana km mwaka mmoja hv wala sikuwa na mahusiano nae yoyote zaidi ya kupeana dili za hapa na pale basi nikamwambia karibu, jioni akafika gheto story mbl tatu hasa za maisha na mahusiano yake katikat nikachomekea masikhara akajaa Huku na Huku sina Mpira ikabd nimplease kuwa naenda shop nichukue zana hiyo ya kivita ndo akaanza kusema mm sizipendi km nihivo bora niondoke

Nikapiga hesabu za probability nikaona huyu life style yake inanitia mashaka afu why kondomu inakua zogo?

Nikamjibu tu kiume samahani sana kiukweli na mm kondomu sizipendi ila itanilazimu kuitumia kabla hatujacheck afya so km unaona kondomu nikikwazo mama, nenda mpk siku tutakayo pima wawili na kuchukua majibu pamoja

Akasema nayy kupima anaogopa sana nikamwambia kwahiyo tunafanyaje? Akakubali kondomu itumike sio kupima ( nikaona hapa kuna jambo) basi nikakubali kuitumia with due diligence game ikapigwa vzr kabisa

Kesho yake jioni kaja mapema akasema analala kabisa ( alielewa sana kipindi hasa jinsi nilivyotimia kumkanda mwili wake kwa shanga zake zakiunoni na kuzitumia kuzipitisha ktk kitumbua chake she resisted to be mad but went crazy [emoji16][emoji16])

Mwendo ukawa niuleule kumenye tu ndomu kila tukitaka kupunga maruhani yaliyopagawa

Akaanza zile za niambie sasa lengo lako ninin au unataka tu uweunanikaza kukidhi haja zako? Mm ni innocent sana huwasiwezi kumwambia mtu jambo la kumuumiza of which nilikua nimepanga kumla tu kila mtu aendelee na maisha yake ila kwakujua saikolojia yake alikua na expectation kubwa ya kuanza kuishi namm ukizingatia umri tyr umeanza kumkataa by then she was 32-33 years old

Nikamjibu km gentleman kuwa siwezi kuweka malengo ukiwa hatujui status zetu za kiafya zikoje siku utakayokuwa tyr kupima then ndio nitakupa malengo. Bado akawa mbishi kupima ananiletea pigo za mbn tunaandaana vzr sipati michubuko ngoma inapitia wapi?

Nikagundua wasiwasi wake mkuu nikupima so kondomu zikahalalishwa rasmi hakuwahi kusema anazichukia tena

Akahamia gheto kabisa muda huo ninamahusiano yangu ya muda mrf mchumba nilielipa mahari Yuko mkoa mwingine wanyumbani kila kitu kipo vzr inasubiriwa ndoa tu! Nikaona huyu demu ataniharibia ila kwakuwa kiasili mm nimpole sana sio mchumba wangu wala huyu aliejileta gheto alieshtukia km kunamwenzake nikaplay role vzr kabisa kwahuyu aliehamia gheto kwa kumpa condition kwamba tunayo miez miwl ya yeye kujitathmn kuhusu kupima ikiisha miez miwl hakubaliani kupima automatically tunaachana wala asije kunilauma.

Miezi miwl ikapita hajafikia maamuzi ( kipind chote hicho sijauza mechi) kuna siku nadhn alifanya makusudi stoke ya kondomu iliisha afu akapiga kmy km kawausiku namwambia chukua ndomu huko anasema zimeisha daaaah ilikua sita usiku maduka mtaa tunaoishi yanafugwa saa tatu aisee nikidata lkn kwa sauti ya upole kabisa nikamwambia we won't play tonight, nadhani hakuamn akajua natania amn usiamn tulilala kufika mid night akaniamsha akisema "yaani angalia nilivoloa najikojolea naww uko hapa hapa? Nikamjibu tu short yamebaki masaa machache ifike asbh nitafuata kondomu nitakutimizia hitaji lako nikageuka kumpa mgongo!

Ikawa asbh siku mpya ikaanza kwakuzini kabla ya kwenda kutafuta mkate jioni yake akasema hakuwahi kuona mtu mwenye misimamo mikali km unskilled...

Muda wampito niliompa kuhusu kupima ukafika ijapokuwa ratiba zangu ningumu ila ilipotimia miezi miwili tu nikamchukua kwenda kupima hospital x ya serikali kabisa nikiwa ninaitupa karata yangu ya mwisho jinsi ya kumwacha bila kuumiza hisia zake

Muuguzi akauliza swali nyeti sana km tunatumia Mpira na haipo siku tumesex peku peku jibu likawa ni condum as usual per game

MAJIBU SHE WAS HIV POSITIVE+
AND I WAS HIV NEGATIVE-!

Binafsi sikuwa surprised maana mm afya naichunga sana maana wazaz wangu walipofikia hawana ngoma mm kaka mkubwa nautoa wapi nahisi nitawafedhehesha sana wazazi na sitokua mfn mzr kwa madogo


Kwann nilimkomalia tupime? Kipind tumepotezana alijichanganya machimbo ya madini mkoani iringa na mm kwa uelewa wangu mdogo machimboni ni risk sana hasa kwa mtoto wakike ukizingatia mkoa wenyewe iringa

Alipewa ARVS siku ileile mm nikauluzwa km sijawahi pekupeku nikamjibu sijawahi peku pia nilikua nazingatia matumuzi sahihi ya Mpira so far nitapima tena muda mwingine!

Tukarudi gheto nikamchukua jukumu la kutomnyanyapaa ila nikamsistiza tu kwahali yake afikirie kuimarisha uchumi wake zaidi asinitegemee mm ikitokea sipo atayumba( mwenye akili ataelewa nikichokua nakimaanisha)

Basi swali la malengo nini likaishia hapo baadae ya miezi km miwili akajiongeza kuwa km alipata ugonjwa huo itakua machimbo ngj arudi tena akapambane na life huko kabla hajaenda nikamsistiza asifanye kuusambaza makusudi ikibidi atumie kondomu km tulivotumua kuliko baadae akapata maambukizi mapya akasepa na rundo la ARVS ZAKE huko chunya this time (mliokohuko mjihadhari)

Mipango yangu na mtarajiwa wangu wa nyumbani inaenda vzr panapo majaliwa nafunga ndoa SEPTEMBER ELEVEN of this year nikiwa nimeipata baraka Zote kutoka kwa huyu sweet poison iliyofeli kuniua akisema "ukipata mtu wakuoa we oa mm ngj nikapambane mbele

My take kula kimasihara kungeniponza maana hii ilikua mwaka jana kipindi visa vya kimasihara vimepamba moto jukwaani hapa pia hata mbinu za kumvua chupi niliitumia za hapa with added factors nilizonazo, sahz ningekua nakula DOZI KIMASIHARA

MY NOTE ukimwi upo unaua km magonjwa mengine ila unamateso aisee km hujawahi kunywa vile vidonge nshukuru mungu huyu mdada siku zakwanza alikua anahangaika kumeza mimavidonge makubwa hata mtu aliechumba chapili ukitikisa kopo la dawa anajua unakunywa

NB tusiwanyanyapae waathirika japo nirisk sana kuna muda nawaza kuwa nao wanamioyo yakupenda na matamanio ila kwakuwa jamii inawatenga ukimtongoza anakubali ila ataogopa kumwambia anakirusi mwilini.
upande waakili unaniambia huenda hata huyu demu alikua anajua hali yake ndo maana alikua hataki kupima?
Ila nikiwaza upande mwingine nasema je bila mm kutaka kula tunda KIMASIHARA tungefikia Huku kote?

All in all mshahara wa dhambi ni mauti mungu anijalie kuifikia ndoa yangu na kuiheshimu maana kila anaesimama mbele yangu nahisi nae anao!

Ikitokea nimechepuka of which mm ni mwanaume niliekamilika inatokea lakn nitachukua all preventive measures

TUNDA KIMASIHARA LINGENILA


Wasalaaam

Unskilled is now SKILLED
Hizo all preventive measure ni zipi mkuu,,,,????
 
Tunatofautiana mkuu, mimi sex ni kitu kidogo sana kwenye mahusiano. Huwa naenjoy zaidi zile moments za kuwa pamoja zaidi kwa sababu sex unaweza pata hata kwa malaya lakini kupata mtu ambaye kwa pamoja mtaunganisha hisia zenu si mtu ambaye unaweza kumpata popote.

Mapenzi ya kifiphilipino bongo wapi na wapi? Mi siku hizi namwona pisi tunapeana namba siku tunaonana na kulala siku iyo iyo na ndo trend kwangu mimi kwa sasa Ndio mana nimeshangaa hii procedure yako. Kua makini man. Hawa viumbe sio wa huruma kuonea, tafuna chap ukimlea,anakuzoea, unamlisha mwingine anadoea.
 
Mwamba umeongea fact ya maana sana,sex co kwamba ndo Kila kitu ishu kupata mtu ambae iternal hisia zinaendana before sex and everything,kiukwel unahitaj kua na akil ya ziada kutambua hili unalolizungumzia coz ni wachache sana wanawake wanaojal utu wao kama sio kutoa papuch ili waonekane wanaenda na wakat,sex Ni ziada lakn utu Kwanza,binafc sishobokei sana sex coz najua nikihitaji hasa kwa mazingira yangu ninayofanyia kazi( tunduma)mpemba najua madreva wa marol wanapajua vizur Ni rahisi kupata mtu wa kulala nae kuliko kupata hata msosi
Kizazi cha sasa kimeathirika sana kimtazamo, labda kwa kuwa mahusiano yamekuwa na changamoto nyingi hivyo watu wanaamua kuwahi kufikiri kuhusu ngono ili kama ikitokea wakaachana basi awe ameshachakata papuchi na ndiyo maana ukionrkana hauweki mbele ngono unaonekana labda una shida fulani, kitu ambacho si kweli.
 
Mapenzi ya kifiphilipino bongo wapi na wapi? Mi siku hizi namwona pisi tunapeana namba siku tunaonana na kulala siku iyo iyo na ndo trend kwangu mimi kwa sasa Ndio mana nimeshangaa hii procedure yako. Kua makini man. Hawa viumbe sio wa huruma kuonea, tafuna chap ukimlea,anakuzoea, unamlisha mwingine anadoea.
Nadhani kuna misconception hapo, kutoweka mbele ngono haimaanishi mapenzi ya kifilino au ni kutoa kafara hisia. Ni kwamba nilijifunza kujipenda mwenyewe kwanza na kutambua msingi wa furaha yangu uko wapi na hakuna mtu anaweza kucheza na mimi katika hilo, huwa sina huruma na mtoto wa mtu katika hilo. Hii imenifanya nipendwe sana kupitiza.

Kwa sasa siwezi kuteswa kihisia na mtu ambaye kabla ya kukutana naye nilikuwa na furaha kwa maana ya kuwa yeye si chanzo cha furaha yangu. Iliwahi kutokea mara moja kwa demu wangu wa kwanza kitu ni kawaida kwa kila anayeanza mahusiano.

Ustaarabu si udhaifu.
 
sahihi mkuu tatizo ua siwaamini sana hawa viumbe nadhani ntainjoi pale ntapopata angalau wakunishawishi kwa tabia
Mazingira ya sasa hivi ni magumu sana linapokuja swala na mahusiano kwa hivyo kwa namna fulani awaunga mkono wachakata kila papuchi inayopita mbele yetu, cha msingi ni kuwa makini na STDs. Ila kwa mimi, my dick is too pricey to fvck cheap ass pussies.
 
Mazingira ya sasa hivi ni magumu sana linapokuja swala na mahusiano kwa hivyo kwa namna fulani awaunga mkono wachakata kila papuchi inayopita mbele yetu, cha msingi ni kuwa makini na STDs. Ila kwa mimi, my dick is too pricey to fvck cheap ass pussies.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umetisha zaidi kwenye mstari wa mwisho
 
Mapenzi ya kifiphilipino bongo wapi na wapi? Mi siku hizi namwona pisi tunapeana namba siku tunaonana na kulala siku iyo iyo na ndo trend kwangu mimi kwa sasa Ndio mana nimeshangaa hii procedure yako. Kua makini man. Hawa viumbe sio wa huruma kuonea, tafuna chap ukimlea,anakuzoea, unamlisha mwingine anadoea.
Unahangaika na mtu mwenye upungufu wa nguvu za kiume?mtaani kwetu wapo wawili wa hivi,akipiga mzigo leo basi hawezi tena hadi mwezi uishe na majibu yao ndio Kama haya,oo siwazi Sana ngono
 
Kizazi cha sasa kimeathirika sana kimtazamo, labda kwa kuwa mahusiano yamekuwa na changamoto nyingi hivyo watu wanaamua kuwahi kufikiri kuhusu ngono ili kama ikitokea wakaachana basi awe ameshachakata papuchi na ndiyo maana ukionrkana hauweki mbele ngono unaonekana labda una shida fulani, kitu ambacho si kweli.

Lakin wazee msisahsau kuwa yan ukiacha haya mnayoyasema mwanaume moja ya kitu anachopenda kwa mwanamke ni sex yan hili bila ubish, sikatai unaweza abstain for sometimes yes lakin wengi wetu nimeona mtu anaweza kusubir na anita huku anajipooza na salima, Kama sex ni part ndogo kuliko vyote kwanini hii kitu ndio inaongoza kuvunja ndoa za watu ? kama sex i sehemu ndogo tu kwanini mtu anapoenda kuitafuta sehemu nyingine inakuwa tatizo ? Mkeo ukimkamata kwa ushahid katombwa nje utaendelea nae ? Unaweza ukamwoa mwanamke bila kufanya nae mapenz hata siku moja ? All in all Wanaume huwa wanapenda sex yan Moja kwa moja..
 
Nadhani kuna misconception hapo, kutoweka mbele ngono haimaanishi mapenzi ya kifilino au ni kutoa kafara hisia. Ni kwamba nilijifunza kujipenda mwenyewe kwanza na kutambua msingi wa furaha yangu uko wapi na hakuna mtu anaweza kucheza na mimi katika hilo, huwa sina huruma na mtoto wa mtu katika hilo. Hii imenifanya nipendwe sana kupitiza.

Kwa sasa siwezi kuteswa kihisia na mtu ambaye kabla ya kukutana naye nilikuwa na furaha kwa maana ya kuwa yeye si chanzo cha furaha yangu. Iliwahi kutokea mara moja kwa demu wangu wa kwanza kitu ni kawaida kwa kila anayeanza mahusiano.

Ustaarabu si udhaifu.

Umeni quote vibaya mimi nime base kwamba hawa viumbe na sio wote Ila percent kubwa kwa sasa wanaona kupitia kile kipochi manyoya wanaweza ku open doors kwa fursa tofauti Ndio mana mim kwa upande wangu naishia kuwala wengi siku iyo iyo ya kwanza kuonana.
Kwaio wewe ukisema una take your time wanaweza kukudharau na kukuona huna sumu huku wale wasiochelewesha wanapiga nao, punguza hiyo hasara bro haswa kwa mtu ulie na malengo nae, watakufyekea mno wenye uharaka wa kula mzigo.
 
......Baada ya kusoma vasa vya watu kwa mda Sasa, acha na mm nijazie cha kwangu, hata kimoja japo vipo kadhaa..

Mika ya 2000's nilikua na mwana mmoja hivi workmate pande za Buguruni, katika pitapita zetu tukakutana na mdada flan njiani so! Katika utani utani nikachukua cm yake nikajibeep.

Night kama saa 2 au 3 hivi nimekaa Sina issue ya kufanya nikaona ngoja nimzingue yule manzi, huku na kule katika kujitambulisha na maongezi ya hapa na pale Mara manzi anadai hanijui, kila niki muelewesha kanikazia mwanzo mwisho, nikaona isiwe tabu mzee nikapotezea.


Kesho yake niko zangu home tu Sina hili wala lile mida ya kama saa 4 flan naona cm inaita kucheki ni no, ya yule manzi....Napokea kaanza ooh unaishi wap? Kipindi hicho naishi TABATA mitaa ya Aroma nikamuelekeza akanambia ana route ya Ubungo so! Akirudi atanichek ili anifahamu.


Mida ya mchana naona text yake mwamba kashuka Matumbi, nikamchukue mdogomdogo mpaka kituoni....Kuniona kashangaa heh! Kumbe ndo ww nikamwambia yeah nd'o Mimi story mbili tatu pale anadai ooh ni'shakuona Mimi naondoka nikam'please pale walau apajue home tu then aendelee na safari yake kweli kanielewa haooo mpaka home.

Kipindi hicho nyumba nzima tulikua tumepanga Wana wawili tu na jamaa yangu siku hiyo hakuwepo so! Nilikua mwenyewe tu. Tumefika Mara ananza habari zake ooh mi sikutegemea kama unaweza kuwa ww yani we kaka m'baya wewe haya nambie no zangu ulipata wap? Na blah blah kibao..nikamwambia achana kwanza na izo Mambo unakula nn?


Kama kawaida yao kaagiza kile chakula chao pendwa, Baada ya shibe na story story kaanza ooh nimesha pajua bac siku yeyote nitakuja kukutembelea, nikaona mzee mzima nishafeli....Sasa wakat anainuka aondoke nikamwambia please japo nikuage tu! Nikamsogelea kumshika naona hakuna upinzani namvutia kwangu anakuja mazima, dah moyoni nikajisemea hii nd'o golden chance sikuachi.


Basi bwana nimvutia kwangu anakuja tu kula mate Sana mtu kalegea nikaona isiwe tabu nampeleke chumbani mtu ananifuata kama kondoo vile via sket tupa kule top tupa kule mtu kabaki na tight tu touch Sana nyonya Sana mziwa baadae show ya kufa mtu, kiukweli hakua fundi san kwenye 6*6 ila alikua na mwili flan una hamasisha balaa ngozi flan chocolate na chuchu zilizo jaa alafu bado ngumu ni kama hajatumika Sana.

Bac Baada ya mapumziko mafupi nikaona game round 2 hapo ndio uswahiba ulipo ishia sikujua siku ile nilipatwa na nn mpaka leo bado Sina jibu, nilipiga show moja ya hatari cjapata kuona ni kama mwili ulikufa gan saa zima na point no kumwaga nikaona isiwe tabu labda nibadili condom ila wap mwisho wasiku kaniomba poo kuwa yuko hoi ila mda huo mi cjakojoa wala hata dalili cna kila nikivuta hisia wap nikaona isiwe tabu..

Basi nikajitoa kibishi ingawa bado mb**. Ina hasira kama cjafanya kitu mzee nimeingia washroom natoka namkuta mlangoni ameisha vaa na hakutaka hata kuoga alichoniambia ni Kwaheri hata nauli yahakuchukua.....kuanzia sikuile hakuwahi kupokea cm yangu wala kujibu text tena nikipita officeni kwake ananiagalia kama hanijui....
Ndiyo maana mimi ni muumini wa kushusha mabao. Vibao vya kuku ila vingii, kwanza mwanamke hakinai, pili raha ya mechi bao.
 
Jana nimepumzika Hotel fulani Mkoa fulani ilivyofika mida ya saa 12 jioni ikaingia call kwenye simu yangu nilivyopokea Hello akagundua aliyempigia simu ni mwingine ambaye yeye alilenga kumpigia mwanamke (Hapa sijui kama ulikuwa ni ujanja wa kutafuta wanaume au la). Akaniuliza mwenye simu yupo wapi nikamwambia mie ndio mwenye simu. Akahamaki nikamwambia angalia jina kupitia M pesa basi kweli akafanya hivyo na kuniomba samahani kwa njia ya sms. Nikamuuliza upo wapi akataja mkoa bahati namimi ndio nipo Mkoa huo. Nikamuuliza upo mjini maana Mkoa ni mkubwa akasema ndio.
Tulichati sana mpaka nikamuomba tuonane sehemu fulani kiwanja kipya. Huyu nilivyopiga nae story ni staff wa NGO fulani inayo deal na mambo ya afya.
Basi tukakubaliana tukutane bar flani na mimi ndio nilitangulia kufika pale. Baada ya 1hr nae akawa amefika.
Dah dem flani sura ya baba sura mbaya, ziwa kama ziwa Victoria yaani kubwa, shapeless, hana mkia kabisa mzigo umehamia kifuani [emoji28][emoji28][emoji28], baasi alivyofika nikamkaribisha akaagiza Savanna. Baada kama dk 20 nikajifanya nimepokea simu kwamba kuna dharura natakiwa faster niende kumbe ndio napanga kukimbia [emoji28][emoji28][emoji28]. Nikamuita muhudumu nikalipa ile moja then mwanamke nikamuachia hela ya Savanna 3. Nikaondoka zangu ananiuliza vipi unakuja nikamwambia siwezi kwakuwa nina dharura kumbe nimekimbia ndio ikawa imetoka hiyo. Kwenye chats zetu niliweka mazingira ya kula mzigo ndio maana alitaka nikapige.

Hii mie ni mara ya pili kukimbia demu wa style kama hiyo.
Kwakweli mie demu mzuri naanza na reception, figure, usafi nk. Akiwa tofauti siwezi hata kidogo.
 
Ndiyo maana mimi ni muumini wa kushusha mabao. Vibao vya kuku ila vingii, kwanza mwanamke hakinai, pili raha ya mechi bao.
Yeah! Sio uongo ila inategemea na mtu mwenyewe kuna mwingine bila kusimamia kucha hakuelewi kabisa, ila hata ki afya style yako ni bora zaidi in case of emergency kama condom kupasuka hakupi stress san
 
Back
Top Bottom