Hii habari ndefu namna hii ni ya kumchapa mtu makofi tu au kuna lingine?

Ila hongera kwa ujasiri mkuu maana kuna siku nilitest kama wewe mchepuko ukanikomoa kwa kutuma meseji za mahaba kila muda ili mke wangu anibambe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna mahali ukigusa tu una NATA
 
Kuna watu ni ving'ang'anizi sana, halafu ukimfunua tu anajiona kama amekuzaa vile, habanduki wala hatikisiki, anajiona kama vile umetangaza ndoa.
 
Mama Pablo mbona unatutukana sisi marafiki zake wakati mpumbavu ni huyu mwenzetu mwenye mchepuko aliyetoa mada
 
sema tu MICHEPUKO sitoacha maana kinachonipeleka kule sio upendo Bali Ni hulka TU ya kiume tulioumbiwa na mungu kubadilisha ladha tunapopata wasaa
Ndugu yangu nimesoma uzi wako na nimesikitika sana kwa wewe kumshuhudia MUNGU uongo. Iko hivi:

MUNGU hakutuumba na kutuwekea "tamaa" ndani yetu. Tamaa ni udhaifu na MUNGU hakutuumba dhaifu. Imeandikwa hivi, "MUNGU alimuumba mwanadamu mkamilifu" Soma Mhubiri 7:29. Pia soma Mwanzo 1:31

Tamaa zinazopelekea watu kufanya zinaa na uasherati ni matokeo ya "ukaidi" wetu na siyo matokeo ya "uumbwaji".

Ndugu unapaswa kuikimbia zinaa na unapaswa kujimiliki na siyo kumlaumu MUNGU ili kuhalalisha maovu yako.
 
Kuna watu ni ving'ang'anizi sana, halafu ukimfunua tu anajiona kama amekuzaa vile, habanduki wala hatikisiki, anajiona kama vile umetangaza ndoa.
Ndicho kilichotokea kwa yule mchepuko,

Alidhani anaweza kuni-manipulate nipoteze utu na ubinadamu kwa familia iliyoniweka relini
 
SIKU nikioa naombea mke wangu awe kama wako...una mke mwenye akili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…