Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hii habari ndefu namna hii ni ya kumchapa mtu makofi tu au kuna lingine?

Ila hongera kwa ujasiri mkuu maana kuna siku nilitest kama wewe mchepuko ukanikomoa kwa kutuma meseji za mahaba kila muda ili mke wangu anibambe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna mahali ukigusa tu una NATA
 
Ha ha ha ha Mchepuko unakupanda kichwan ulichokifanya ni sahihi muache sasa akatafute mtu wa kumtambulisha kwa mkewe ila sio wewe...

Mkeo anakupenda sana Mzee najua kuchepuka huwez kuacha ila mlinde na simama na mkeo kwenye kila kitu

NB: Wale mnaojiona wakamilifu tunasubri comment zenu muanze kupiga mapambio ila mje na maji tiririka na mvae barakoa maana changamoto zimezid sa hvi
Kuna watu ni ving'ang'anizi sana, halafu ukimfunua tu anajiona kama amekuzaa vile, habanduki wala hatikisiki, anajiona kama vile umetangaza ndoa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Aiseee... hiyo aina ya marafiki zako tells more of what u people u are.

Sasa endeleza michepuko iko siku mke atakufurahisha. Si umeona ameside na wewe eh? Iko siku utafurahi.
Nakusisitizia juu ya hao marafiki zako. Mbona una marafiki was..engerema hivyo? Yaan unatoka kituoni na mkeo yupo bado wanakuita? Kmmk zao. Wateme watakugharimu. Kuna siku hutawaona kwenye majanga yako
Mama Pablo mbona unatutukana sisi marafiki zake wakati mpumbavu ni huyu mwenzetu mwenye mchepuko aliyetoa mada
 
sema tu MICHEPUKO sitoacha maana kinachonipeleka kule sio upendo Bali Ni hulka TU ya kiume tulioumbiwa na mungu kubadilisha ladha tunapopata wasaa
Ndugu yangu nimesoma uzi wako na nimesikitika sana kwa wewe kumshuhudia MUNGU uongo. Iko hivi:

MUNGU hakutuumba na kutuwekea "tamaa" ndani yetu. Tamaa ni udhaifu na MUNGU hakutuumba dhaifu. Imeandikwa hivi, "MUNGU alimuumba mwanadamu mkamilifu" Soma Mhubiri 7:29. Pia soma Mwanzo 1:31

Tamaa zinazopelekea watu kufanya zinaa na uasherati ni matokeo ya "ukaidi" wetu na siyo matokeo ya "uumbwaji".

Ndugu unapaswa kuikimbia zinaa na unapaswa kujimiliki na siyo kumlaumu MUNGU ili kuhalalisha maovu yako.
 
Kuna watu ni ving'ang'anizi sana, halafu ukimfunua tu anajiona kama amekuzaa vile, habanduki wala hatikisiki, anajiona kama vile umetangaza ndoa.
Ndicho kilichotokea kwa yule mchepuko,

Alidhani anaweza kuni-manipulate nipoteze utu na ubinadamu kwa familia iliyoniweka relini
 
Ni stori ndef ila ntajaribu kuifupisha kadri ya uwezo wangu.

Mchepuko nnae mzungumzia. Ni binti flan ivi mrembo hapa mtaani, anaishi nyumba Kama ya 3 kutoka nnapoishi na familia yangu. Pia mwajiriwa ktk mojawapo ya makampuni Aya ya Marehemu mzee Mengi.
SIKU nikioa naombea mke wangu awe kama wako...una mke mwenye akili sana
 
Back
Top Bottom