Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakunyoa kwa upangaa hiyo siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mlivyojipanga kuyafukua sasaView attachment 1827666
Haiwez kutokea tena,Tutakunyoa kwa upangaa hiyo siku[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna mahali ukigusa tu una NATAHii habari ndefu namna hii ni ya kumchapa mtu makofi tu au kuna lingine?
Ila hongera kwa ujasiri mkuu maana kuna siku nilitest kama wewe mchepuko ukanikomoa kwa kutuma meseji za mahaba kila muda ili mke wangu anibambe
Mmh wee acha tu mkuu.Hahaha, Pole..
tafadhali sana kama hutojali tushee-e ilivyokuwa..!!
Kuna watu ni ving'ang'anizi sana, halafu ukimfunua tu anajiona kama amekuzaa vile, habanduki wala hatikisiki, anajiona kama vile umetangaza ndoa.Ha ha ha ha Mchepuko unakupanda kichwan ulichokifanya ni sahihi muache sasa akatafute mtu wa kumtambulisha kwa mkewe ila sio wewe...
Mkeo anakupenda sana Mzee najua kuchepuka huwez kuacha ila mlinde na simama na mkeo kwenye kila kitu
NB: Wale mnaojiona wakamilifu tunasubri comment zenu muanze kupiga mapambio ila mje na maji tiririka na mvae barakoa maana changamoto zimezid sa hvi
Umesema kweli, ukimaliza kukojoa tu unasnza kujuta.Sema umalaya sio dili wala nini..tunatesa tu hisia za hawa warembo.
Mama Pablo mbona unatutukana sisi marafiki zake wakati mpumbavu ni huyu mwenzetu mwenye mchepuko aliyetoa mada[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee... hiyo aina ya marafiki zako tells more of what u people u are.
Sasa endeleza michepuko iko siku mke atakufurahisha. Si umeona ameside na wewe eh? Iko siku utafurahi.
Nakusisitizia juu ya hao marafiki zako. Mbona una marafiki was..engerema hivyo? Yaan unatoka kituoni na mkeo yupo bado wanakuita? Kmmk zao. Wateme watakugharimu. Kuna siku hutawaona kwenye majanga yako
[emoji23][emoji23][emoji23]mbususu zenyewe huko za baridi.Haiwez kutokea tena,
Hapa nilipo nimesafiri tangu mwez wa pili, sijaonja mbususu.
ila hata sijafikirii kutafuta mchepuko, na uku nilipo ni baridi kali mno.
Nmebadilika sana mkuu
Araaa kumbe ni nyinyi? Razima muerezwe ukwerii.. hamna akiri nyie[emoji23] upeo wenu wote umejazwa na mbususu. Hamnaga akili kiikweli kbs. Na ningewatenga kama ni friends zanguMama Pablo mbona unatutukana sisi marafiki zake wakati mpumbavu ni huyu mwenzetu mwenye mchepuko aliyetoa mada
Ndugu yangu nimesoma uzi wako na nimesikitika sana kwa wewe kumshuhudia MUNGU uongo. Iko hivi:sema tu MICHEPUKO sitoacha maana kinachonipeleka kule sio upendo Bali Ni hulka TU ya kiume tulioumbiwa na mungu kubadilisha ladha tunapopata wasaa
Alikudanganya nani?[emoji12][emoji23][emoji23][emoji23]mbususu zenyewe huko za baridi.
Ndicho kilichotokea kwa yule mchepuko,Kuna watu ni ving'ang'anizi sana, halafu ukimfunua tu anajiona kama amekuzaa vile, habanduki wala hatikisiki, anajiona kama vile umetangaza ndoa.
SIKU nikioa naombea mke wangu awe kama wako...una mke mwenye akili sanaNi stori ndef ila ntajaribu kuifupisha kadri ya uwezo wangu.
Mchepuko nnae mzungumzia. Ni binti flan ivi mrembo hapa mtaani, anaishi nyumba Kama ya 3 kutoka nnapoishi na familia yangu. Pia mwajiriwa ktk mojawapo ya makampuni Aya ya Marehemu mzee Mengi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tulia mkuu tupate ubuyuu wa kweli kweliHivi mwanzilishi wa huu uzi aliwaza Nini haswa khaaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Lakini akiamua kukukomoa hakuna rangi ataacha kuona, mwogope sana mwanamke anayeonyesha kusamehe mapema...wana visasi balaaSIKU nikioa naombea mke wangu awe kama wako...una mke mwenye akili sana
Ilkuaje kuaje mkuu, funguka[emoji4]Haha umemaliza yashanikutaga sana