Labda tujue wali kapikia kutumia nini. Maana unaweza kuta ilikuwa kwenye rice cooker huitaji kugeuza.
Me nilivyomuelewa ni kuwa alipika wali then akauacha jikoni mengine yakafuata na ni swala la kawaida.
Labda!
 




mabaharia hii story ni ya kweli tukio lilitokea 2017 nakumbuka vizuri kila nikadithia wahuni wananishangaa sana kutafuna makaburini wakati kuna watu wanatafunana kwenye masinagogii hapo story tunatoa za kweli ili watu wajifunze wapate maujanja



basi tukiendelea na story yetu zile tochi kumbe zilikuwa ni sungusungu siunajua mambo ya ulinzi shirikishi maana walishtukizia baada ya kuskia miguno wakawa hawana uhakika ndo wakaja wakafuma nimemuinamisha mtoto juu ya kaburi lilotandikwa mgololo vizuri mashada ya maua yamewekwa pembeni aisee nilikula kichapo maana Kwanzaa walijua ni mwizi wa misalaba kama hii ishu ya kuibiwaga misalaba mshawahi kuuisikiaga pia kutokana na ujinga nliofanya ila manzi walimchapa makofi wakamuachia ilibidi nibonge nao nikaenda nao hadi home nikawatoa mpunga kidogo kesi ikaisha

baadae nitakuja na moja jinsi nilivotafuna kimasihara beach ya raskazone swimming club nlivokuwa tanga ndo maana wakajaga na ile sheria hakuna kufundisha mtu kuogelea sjui kama sahivi IPO
 

Kwani usipogeuza wali hauivi??
 
kweli BHANGE mbaya sana[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayo maswali baki nayo asee buddah.
Lengo uzi usonge mbele kwa mbele
Hapa ni mwendo wa story tu "kimasihara"
 
Ushajiita mlevi dogo na umeweka picha ya nyagi unajiona mjaaanja kumbe hohehae tu unamaliza maini na kukaribisha ukimwi na stor zenu hizi za vijiwe vya kahawa mnajiona wajanjaa
[emoji3][emoji3][emoji3] hohehae tenaa ? ? Sawaa babu Ngoja nikuache tu sababu hunifahamu mkitajirikaga uzeeni mnakuwa na wenge sana

Basi tuachie Uzi wetu sisi maskini na huo ukimwi wetu unaodai acha kutushobokea nenda kwenye Uzi wa hadhi yako ukiwepo humu we ni boya tu vilevile maana upo na sisi kijiweni


Tulikwambia tunataka ushauri nasaha kwani [emoji3]
 
Hizo tarehe unge edit maana wahusika wanaeza pita nakukutana nazo si unajua mambo ya mitandao...
 
Huu uzi umevamiwa sana. Wapuuzi wengine wanaleta mada za magonjwa kwenye uzi wa mapenzi ya tunda za kimasihara.
Watu wa siasa na wanaharakati wameona watu tunafaidi hapa kwenye kutoa experience halisi za maisha.
Wanataka kila wakati tujadili CCM, CHADEMA na ACT wazalendo.
Wametuharibia uzi wetu pendwa.
 
Mzee baba utaishi milele kwani [emoji3][emoji3]


Mzee baba naona unaropoka tu watu hawana hela hivi unatujua lakini au ni I'd zetu ndo zinakuzuzua
Achana na huyo mnafiki. Mwambie akaanzishe uzi wake sio anadandia uzi wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…