Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 5,987
- 6,682
Labda!Labda tujue wali kapikia kutumia nini. Maana unaweza kuta ilikuwa kwenye rice cooker huitaji kugeuza.
Me nilivyomuelewa ni kuwa alipika wali then akauacha jikoni mengine yakafuata na ni swala la kawaida.