Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Wanawake hawatabiriki mkuu. Unaweza kuwala kirahisi kwa sababu ya pesa, muonekano, status uliyonayo kama kuwa na cheo fulani au umaarufu. Wapo wenye pesa wanapigiwa kila siku na wasio na kitu na wapo maskini wanapigiwa wake zao na watu wenye pesa. Wapo watu maarufu wanawawake wanaokota tu bila kutumia pesa.Hao ma HB dar wapo wengi si wangekuwa wanakufa? Alafu kama kweli huo u HB ni tatizo sana hemedi asingekuwa anaokota zile takataka zake wakati daslama kuna watoto wazuri wengi sana na wapo available mkuu... Nakumbuka kipindi kile inafanyikaga nyamachoma festival pale sayansi viwanja vya posta kipindi cha likizo mwezi 12 hata wanaosoma ulaya wamerudi ndio utajua hatawanamke wako kazana nae tu manake kuna watoto kama Mungu aliwachora na peni mzee acha kabisaaaaaa
Najua umepita shule na hali za shule ndio zinazoendelea huku mtaani tunakoishi. Binadamu ni walewale na tabia ni zilezile. Hukuwahi kuona shuleni au chuoni kuna jamaa wanang'oa vyuma kisa wanajua kucheza Basketball au Football, ni ma Hb, wanatoka familia tajiri au za viongozi, au mpiga kinanda na gitaa kanisani kuwala wadada wanakwaya wote na washarika ambao ni wake za watu?
Kula kirahisi mwanamke hakutegemei sababu moja ya pesa tu na mara nyingi wanawake wanakuwa wanajua wanachofanya sio kwamba amejirahisisha tu ilimradi.