Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hao ma HB dar wapo wengi si wangekuwa wanakufa? Alafu kama kweli huo u HB ni tatizo sana hemedi asingekuwa anaokota zile takataka zake wakati daslama kuna watoto wazuri wengi sana na wapo available mkuu... Nakumbuka kipindi kile inafanyikaga nyamachoma festival pale sayansi viwanja vya posta kipindi cha likizo mwezi 12 hata wanaosoma ulaya wamerudi ndio utajua hatawanamke wako kazana nae tu manake kuna watoto kama Mungu aliwachora na peni mzee acha kabisaaaaaa
Wanawake hawatabiriki mkuu. Unaweza kuwala kirahisi kwa sababu ya pesa, muonekano, status uliyonayo kama kuwa na cheo fulani au umaarufu. Wapo wenye pesa wanapigiwa kila siku na wasio na kitu na wapo maskini wanapigiwa wake zao na watu wenye pesa. Wapo watu maarufu wanawawake wanaokota tu bila kutumia pesa.

Najua umepita shule na hali za shule ndio zinazoendelea huku mtaani tunakoishi. Binadamu ni walewale na tabia ni zilezile. Hukuwahi kuona shuleni au chuoni kuna jamaa wanang'oa vyuma kisa wanajua kucheza Basketball au Football, ni ma Hb, wanatoka familia tajiri au za viongozi, au mpiga kinanda na gitaa kanisani kuwala wadada wanakwaya wote na washarika ambao ni wake za watu?

Kula kirahisi mwanamke hakutegemei sababu moja ya pesa tu na mara nyingi wanawake wanakuwa wanajua wanachofanya sio kwamba amejirahisisha tu ilimradi.
 
Wataalam nina kisa kimoja hiko.. nilikula sister wa kanisani.. kwenye kuomba msamaha kwa Mungu nafsi inasema ili niwe Huru hii Siri niitoe kwa watu wajue na Moyo wangu utakuwa na Amani.. hiyo Dhambi nilifanya 2021 seminari nipo malezi sasa nimerudi parokiani kwangu ndo nakutana na huyo sister, sister anaitwa (….) ni Mkenya Shirika la (....) alikuwa mdogo sana... Mwaka Jana nikasikia amefariki Kwa ajali ya gari.. NITAELEZA UKWELI Watu wakijua Nafsi Yangu naamini Itatulia sana
 
Naona mashoga mnafarijiana[emoji3],hivi mwanaume kamili unaweza kusimama mbele za wanaume marijali ukasema wewe ni mzuri?,kama sio uchoko ni nin....
Me nshawaambia saan ila naona wanaendelea kushirikiana seriously Kuanz kujisifu wew ni HB hata Kam isiwe mbele ya wanaume , even if ukiwa hata kwa mademu pia hii kitu haiko poaa wazee
 
Wakuu wa masihara nipo kwenye Mbio za Mwenge hapa Changarawe primary, nani mwingine niko nae hapa tujuane.
Nilikuepo Jana hapo usiku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] napata mbili Tatu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulimuona Linah??
 
Wakuu Niko namalizia doz ya malaria ila jna msabato mmoja alikuja geto kunijlia Hali baada ya kumuambia naumwa kilichotokea hta mm mgnjwa cjui lkn aliliwa kimasihara na la mkwezi, kauli ninayokumbuka kutoka kwake lkn ww unaumwa
Leo aliyeliwa kimasihara kanikumbka
 
Attachments

  • Screenshot_20230513-084007_1.jpg
    Screenshot_20230513-084007_1.jpg
    46.9 KB · Views: 73
Wataalam nina kisa kimoja hiko.. nilikula sister wa kanisani.. kwenye kuomba msamaha kwa Mungu nafsi inasema ili niwe Huru hii Siri niitoe kwa watu wajue na Moyo wangu utakuwa na Amani.. hiyo Dhambi nilifanya 2021 seminari nipo malezi sasa nimerudi parokiani kwangu ndo nakutana na huyo sister, sister anaitwa (….) ni Mkenya Shirika la (....) alikuwa mdogo sana... Mwaka Jana nikasikia amefariki Kwa ajali ya gari.. NITAELEZA UKWELI Watu wakijua Nafsi Yangu naamini Itatulia sana
Ilitakiwa utoe siri akiwa hai. Kwa sasa fuata taratibu za kutubu/kuungama dhambi. Na hiyo inaweza kuisha katika ya wewe, Mungu, na aliyekusikia na kukuongoza toba. Sio lazima umati wote ujue labda kama una mambo mengine
 
Sawa Mkuu Mungu aniongoze Katika hatua zake[emoji120]
 
Back
Top Bottom