Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
AsanteePole sana kaka kwa kufumuliwa marinda kimasihara.
Haya ndio madhara ya kujipa ID za kike.
Ule uzi uliofutwa umethibitisha wewe ni me
watu wanagonga ikulu tena kwa mitindo huruKuna mkaka wa pale Dodoma mwenye I'd inayoanza na irabu za mwanzo na kuishia na irabu za mwisho
Alichonifanyia pale Dodoma D... m...m Hotel ilikuwa kimasihara,ilikuwa kimasihara kabisa,nahisi alitumia uchawi maana najielewa huwa stoi tunda kimasihara
Nikiwa zangu safarini kutoka Dar kwenda Mwanza,kijana mmoja nilikuwa namwelewa pm,akaniomba nishuke Dom,akaniomba tangu alfajiri kila dakika ananiomba
Nikaona isiwe soo,nikashuka kanipokea kanipeleka hotel yenye jina la mama,nikajikuta ameniroga akanila kimasihara
Karibuni tutambulishane tuliokulana kimasihara humu JF
Jamani PM imejaaa ,usipojibiwa cool down,sasa hivi staliwa kimasihara
Mbona I'd hii mimi nina mashaka nayo, huwa nahisi ni kidume. Siamini kuna mwanamke wa kawaida anaweza kujitangazia kuliwa....labda awe punguani
Weka picha.Kuna mkaka wa pale Dodoma mwenye I'd inayoanza na irabu za mwanzo na kuishia na irabu za mwisho
Alichonifanyia pale Dodoma D... m...m Hotel ilikuwa kimasihara,ilikuwa kimasihara kabisa,nahisi alitumia uchawi maana najielewa huwa stoi tunda kimasihara
Nikiwa zangu safarini kutoka Dar kwenda Mwanza,kijana mmoja nilikuwa namwelewa pm,akaniomba nishuke Dom,akaniomba tangu alfajiri kila dakika ananiomba
Nikaona isiwe soo,nikashuka kanipokea kanipeleka hotel yenye jina la mama,nikajikuta ameniroga akanila kimasihara
Karibuni tutambulishane tuliokulana kimasihara humu JF
Jamani PM imejaaa ,usipojibiwa cool down,sasa hivi staliwa kimasihara
Sisi tunataka kula tunda kimasihara, arafu wewe unatuletea kutongoza kimasihara..
Tuelewane vizuri, kula matunda kimasihara ni ile hali ya kutumia ishara na kula tunda mda huo huo pasipo kuzungumzia jambo lenyewe sana..
Hatimaye ukafanya kazi yako hongera japo dhorobu ilikuwa kali lakinj mzee baba Meli ikakatiza katika ya dhorobu !!!
Tena wa shule moja kondoa huko. Mwl mkuu cheupeeHuyu demu atakuwa mwalimu mkuu
Mwaka uishe tu huu
Nimeshakuja nataka kimasihara
sawa ila chai wakati mwingine ikizidi lazima tuseme, me siwezi kukaa kimya kabisa[emoji849]
Waoh ,mamboNimeshakuja nataka kimasihara
Hahahaha,aseeJaman siyo lazima upewe hela hata bure tu mnapozana nafsi
Nipo nimejaa tele nipo likizo mm mtendaji wa kijiji
Khaaaa umeoa una roho mbaya hata kadi loooh
Nimerudi siku mingi sana
Ujue nitalia mm wa kunifanyia hivi kweli jaman
Nakuja kesho huko nitakuwa mitaa ya Kibaha
Salama my wangu
Hahahaha, bora umerudi ,tulimiss maandishi yako ,karibu sanaUnanikimbia eeeeh
Hahahaha ,dah ataua watuHuyu demu ndio mwenye ngoma. Ila ana ID kibao humu
Dah nliwai kumwelewa mtu mmoja tu humu afu akanipotezea adi nikaolewa na mtu mwingine japo atukulana wala kuonana adi leo......