Semester ya kwanza mwaka wa tatu,jioni moja nilienda kumtembelea rafiki yangu ambaye alikuwa Main Campus - UDSM.
Nilipofika alikuwa yupo pale kituoni Utawala akongea na binti mmoja wa kisomali ambaye mwanzoni nilidhani ni mwarabu. Hapa naomba nimwite Minna (sio jina halisi) Walikuwa wakizungumza kuhusu laptop, basi nikatambulishwa na mazungumzo yakaendelea.
Shida ya binti ilikuwa anauza laptop yake ili anunue nyingine. Nikajitosa kwamba ninaitaka hiyo laptop, binti bila kusita akanikabidhi nikampa ahadi kwamba hela nitampatia ijumaa inayofuata ( nilikuwa nasubiria Boom na pesa ya special faculty requirements) Nilicheki laptop na nikaridhika nayo.
Jamaa yangu akakubali kuwa mdhamini.
Tukabadilishana mawasiliano na binti akasepa, nikabaki na jamaa yangu tukiendelea na story za hapa na pale na jamaa akafunguka kwamba huyo binti anamkubali sana na ana mpango wa kujiweka hapo. Nikamtakia kila la kheri.
Boom likaingia Alhamisi, usiku nikamtext kuwa hela ipo tayari, nitampelekea kesho yake, akajibu kuwa hatakuwa chuoni kesho yake hivyo atanijulisha atakaporudi. Nikamtania kuwa "hii hela nitaila ukichelewa"; akajibu "ukiila na mimi nitakukula wewe" nikabaki na kimshangao kisha nikamjibu "utaanzia kunila wapi" binti akajibu " nitaanzia kwa nyoka wako" meseji zote hizi ni kwenye SMS hivyo hakuna emoji.
Nikajibu "huyu nyoka wangu ana sumu kali" binti wa kisomali akamaliza kesi "usijali, nitamla yeye na sumu yake, wewe sema tu lini na wapi?!" Sikuamini nilichokuwa nasoma, nikamjibu "lodge, jumatatu kama utakuwa umerudi" kimya kirefu kikapita kisha akaandika "sawa, iwe mahali tulivu" .
Kwa kweli weekend hii ilikuwa ndefu sana, maana niliona siku haziendi kabisa, mawazo yote yakawa kwa binti wa kisomali. Rafiki yangu sikumweleza chochote kuhusiana na jambo hili.
Jumatatu asubuhi napokea sms "nyoka ameamka salama? Tukutane mbele ya Fairly Delight Mlimani City ( Hii ilikuwa restaurant eneo la nje ya Mlimani city kwenye geti la upande wa Survey kulikuwa na "buffee" za 10,000/- siku haipo hii restaurant).
Nikapanda Hiace ( Za Mwenge - Ubungo kupitia chuo) sijui kama hii route bado ipo. Nikafika nikamkuta mdada wa kisomali amepiga Baibui moja matata sana na ndani ana suruali tight ya jeans blue, amejiremba vya kutosha. Nilikuwa na aibu ya hapa na pale maana ilikuwa kama ndoto.
Tukazama Fairly Delight tukapiga chai na vitafunwa vya kutosha.
Saa nne kamili tukatoka, tukavuka barabara kuelekea upande wa Sinza ( pale kilipo kituo cha Daladala - ule mtaa una lodge nyingi sana.
Tukaingia lodge moja inaitwa Executive, nyoka akachezewa vya kutosha na kumwaga sumu isiyo na madhara. Mtoto alikuwa fundi sana na mwenye ashki za kutosha. Nachokumbuka nilirudi chuo jumatano saa nne asubuhi.
Hela ya laptop hakuichukua, mapenzi yakaendelea kwa kasi sana, nilipima nikaona nibaki na msomali kuliko dada mlokole ambaye alikuwa anataka ndoa wakati sikuwa hata na wazo. Dada mlokole akapata mchumba japo niliendelea kula mara moja moja.
Urafiki na jamaa yangu ukafa na jamaa akawa na hasira sana na mimi. Tumekuja kupatana mwaka 2018 baada ya kukutana Arusha kila mtu akiwa na issue zake.