katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Nimewahi kutoa tunda kimasihara nilipokuwa chuo cha veta nilipenda sana kampani za mchanganyiko .Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasiraa, jamaa ake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga.
Mimi niliona status demu flani ninaemkubali kaandika i need somebody to talk to aisee nikampigia video call kumbe alikuwa analiaa nkamwambia upo wapi?? Akasema yupo hostel anaugulia maumivu bwana ake kamla rafika ake na ana ushahidi aisee nkamwambia pole sana. Vipi tutoke bhasi ukapoteze mawazo kidogo? Akasema twende tu me nshachoka kuumizwa. Aisee ile siku sikuamini nilihisi ni ndoto japo baada ya tukio akaniblock[emoji15][emoji15][emoji33] kisa nilimpost demu wangu. Na yeye akampost jamaa eti ili anikomoe nkasema wanawake bhana.
Je, vipi ushawahi kula tamu kiutani utani tu? Mlidumu kama wapenzi baada ya kumla?
Basi siku moja tulikuwa tunabishana jambo na mtu kijana mmoja akasema jamani katoto umependeza leo nikamwambia aka unikome katika mazungumzo tukadai hivi huwezi na weza huwezi na weza mwishoni akasema twende ukaone kama naweza basi.
Basi tukaongozana na ...... na kweli kajipatia mzigo tulikuwa mimi na msichana anaitwa pachaa .
Akajilia kwa raha zake yaani mpaka kashiba na toothpick akapatiwa .
Loh basi kila mtu anabahati yake kala toothpick na chibonge mwenye umbo namba nane walahi kaenjoy.
Kwa raha zake .