Home kuna mdada alikuwa amepanga, disemba moja akaja mdogo wake likizo, namba nane ya kuchongwa,kumtongoza siwezi,kila mtu anammendea, siku ya siku, saa sita sita usiku nimembonji nasikia mlango wa gheto unagongwa, kufungua dada mpangaji huyu hapa akasukuma mlango na kuingia ndani.
Akaniomba, amepata mgeni hawezi kulala na mdogo wake anaomba aje kulala kwangu saa 11 mgeni wake akiondoka atarudi kulala,sikuweza hata mjibu kitu, nilimuangalia tu huku mdomo uko wazi.
Namba nane alipoingia gheto mi niko mezani najifanya nasoma, walah sikumbuki nilikuwa nafanya nini pale mezani,kuwa kichaa ni kazi rahisi sana, yaani nilikuwa busy sana lakini hakuna kitu nilikuwa nafanya hata kimoja. Hakugonga,alifungua mlango akaingia akaufunga na kuugemea, sikuweza hata kugeuza shingo kumuangalia, haya mambo yalikuwa yanatokea kwa speed sana nadhani nilipata mfadhaiko,
Akasalimia, mambo!! ndo najifanya kushtuka nikakutana na tabasamu la hatari,sikuweza kujibu. I was dumb founded.
Akaniambia naomba nilale, kajifunga kanga,macho yangu kifuani utafikiri naangalia ghorofa linaanguka, siwezi kusaidia kitu,akarudia naomba kulala Mussa,bado sikuweza kujibu, nikaangalia tu kitandani,akacheka akapanda kitandani,nikarudi mezani.
To cut the story short,baada ya kama nusu saa doing nothing,nikapanda kitandani,nikaelekeza kichwa huku kwenye miguu yake.mzungu wa nne