Ulishawahi kula tunda kimasihara?
imekula kwako

kwa taarifa yako hapo lazima ufanywe ndondocha a.k.a msukule

hata hapo umefanyishwa mapenzi na msukule,na ukitaka kuelewa jioni ukienda tena..

uingie hapo ukiwa umefumba jicho moja hadi huko kilingeni na kwenye puchi

utakayoyaona usipige kelele;vinginevyo utachizishwaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nikifumba jicho moja naona kila kitu?
Mh
Ntajaribu kufanya hivyo
 
Nendapo na Ulaleko... Ha hah kiswahili bwana.

Ila sio mbaya wewe endelea kulaTunda la Mganga.
 
Mkuu huo ndiyo mwisho wako wa kula papuchi nyingine, atakutengeneza ukitoka nje machine haifanyi kazi, acheni kukimbilia walozi
Hatari au atamtengeneza akitaka kula mzigo panya anakuja anachukua mashine anaondoka nayo, hiyoooooo, akiacha baadaye anarudisha.
 
Mganga kategesha mtego ukanasa huko wewe ukiona umemla kimasihara! Ni kama umepewa limbwata watu wa nje wakikuambia huwezi kubali
 
hatari sana siku huyo mganga ajigeuze kuwa njemba sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom