Lugumgya
JF-Expert Member
- Dec 10, 2019
- 629
- 2,006
Hiyo mbona kawaida! Hata wako analiwa Mkuu! Wanawake hawa wasikupe shida! Amle tu!Kama ingekuwa kweli, myb anaenda kumla mke wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo mbona kawaida! Hata wako analiwa Mkuu! Wanawake hawa wasikupe shida! Amle tu!Kama ingekuwa kweli, myb anaenda kumla mke wako
Kama una girlfriend anaitwa Liz unaweza usilale leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huku Liz anaelekea machinjioniView attachment 1477604
Ok, insue ni anadanganyaHiyo mbona kawaida! Hata wako analiwa Mkuu! Wanawake hawa wasikupe shida! Amle tu!
Ni kweli anadanganya. Tunakutegemea mtaalamu kutuambia stori za kweli na za uwongo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Ok, insue ni anadanganya
Watu wanakula tu, wakati yeye anajadili stori za kweli na za uwongo. [emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo mbona kawaida! Hata wako analiwa Mkuu! Wanawake hawa wasikupe shida! Amle tu!
Mi nadhani ungeendelea kutafuta eneo ili ufungue stationery, haya masuala ya kula kimasihara waachie hawa vijana [emoji3][emoji3]Mbona hizi msg zote zinaandikwa na mtu mmoja,mtu huyo huyo anaandika na kujijibu...usiniulize nimegunduaje
Ipi na ipi Mkuu zinazofanana! Shida unaona ni chai baada ya kunywa! Ukishadindisha tu ukakosa pa kupapasa, then ukafikiria wenzako walivyo gusa kilaini roho inauma! Hapo ndo unaanza kujiuliza! Hivi ni kweli ? Hivi ni kweli?Somehow chai zenu zinafanana...
New version of CHAIHuku Liz anaelekea machinjioniView attachment 1477604
Hahahahah, Mkuu haya uyaonayo ndo yanafanya dunia izunguke! Yakikosekana, dunia itasimama!Mnaodhani hii ni chai mi ndo nawivu bas kuweni makini nieleze kwann mtu mzima Privity kaleta Chai
Katika hizo screenshot mbili zote, same phone, same name saved na same android model, so probably its the same phone from the screenshooter, ila moja with Dark theme nyingine without
Ila the funny thing ni kuwa screenshoot moja mwanaume yuko upande wa kulia mwanamke upande wa kushoto, nyingine ni the opposite of the first, easy pizzy, Chai
View attachment 1477609View attachment 1477610
Mheshimiwa mpishi umesahau siku ambayo ulisema "sasa ni mwendo wa chai tu "..? au mpk niende ku screen shot..nenda kafute post yako ile ili nisije na ushahidi hapaIpi na ipi Mkuu zinazofanana! Shida unaona ni chai baada ya kunywa! Ukishadindisha tu ukakosa pa kupapasa, then ukafikiria wenzako walivyo gusa kilaini roho inauma! Hapo ndo unaanza kujiuliza! Hivi ni kweli ? Hivi ni kweli?
Hahahahah, Sasa jua nyingi ni kweli! Tena kweli tupu! Chukua mbinu, kale kimasihara lete mrejesho! Relax bro, life is too short!
Ile Mkuu! Sijawah kusema hivo Kiongozi!Mheshimiwa mpishi umesahau siku ambayo ulisema "sasa ni mwendo wa chai tu "..? au mpk niende ku screen shot..nenda kafute post yako ile ili nisije na ushahidi hapa
Ni kweli hizi ni chai na zina tangawizi. Embu lete ambayo sio chai [emoji28][emoji28][emoji28]Mnaodhani hii ni chai mi ndo nawivu bas kuweni makini nieleze kwann mtu mzima Privity kaleta Chai
Katika hizo screenshot mbili zote, same phone, same name saved na same android model, so probably its the same phone from the screenshooter, ila moja with Dark theme nyingine without
Ila the funny thing ni kuwa screenshoot moja mwanaume yuko upande wa kulia mwanamke upande wa kushoto, nyingine ni the opposite of the first, easy pizzy, Chai
View attachment 1477609View attachment 1477610
Itafute uilete Mkuu @Luhan_chen. Niko tayari kuumbuka!Mheshimiwa mpishi umesahau siku ambayo ulisema "sasa ni mwendo wa chai tu "..? au mpk niende ku screen shot..nenda kafute post yako ile ili nisije na ushahidi hapa
hahaaah mkuu nitafutie eneo basi,or nipe connection maisha yashakua magumu sana hayaMi nadhani ungeendelea kutafuta eneo ili ufungue stationery, haya masuala ya kula kimasihara waachie hawa vijana [emoji3][emoji3]
Mkuu fatilia kwa makini... isije kuwa umeandaliwa kisaikolojia. Maaana wake za watu wa siku hzi
Hata mimi mkuu, niliona hicho kituMbona hizi msg zote zinaandikwa na mtu mmoja,mtu huyo huyo anaandika na kujijibu...usiniulize nimegunduaje
Natamani haya maneno yako tungeyafanyia documentary.......Kuna mstari mwembamba sana kati ya mwanamke malaya na asiye malaya.
Na huu mstari mwembamba unaweza ukawepo kwa kuwa tu hujajua mambo ya mwanamke husika.
Mwanamke anaweza kuonekana mstaarabu na anayejishimu lakini siku ukijua faili lake utabaki mdomo wazi.