Ulishawahi kula tunda kimasihara?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hii mbaya Sana ..halafu sijui inakuwaga aje yaani ukitembea na jimama Basi unakuwa unasumbuliwa na mimama tu...ukitembea na vitoto pia inakuwa hivyo hivyo Daahh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi nakulaga mxer

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Juzi Ijumaa tar 17 january kuna mmama alintafuta nimsaidie kumchagulia kijana wake pc. Alipewa namba na mshakaji wa ofsini kwangu. Basi nkaenda kuonana nae tukaenda kucheki kariakoo, huyo kijana ndo yupo chuo mwaka wa kwanza. Nkachagua moja akaipenda, akasema ataenda bank kutoa hela halafu atamtuma mhasibu wake aje na hela tuilipie, nibaki nayo niiwekee software kesho yake jmosi aifate.
Nkarudi ofsini, mida ya saa 10 mlinzi kapiga simu kuna mgeni wangu chini, nkashuka nkamkuta binti mmoja, mzuri wa sura na mweupe lkn tako hamna kabisa. Akasema yeye ndo huyo mhasibu kaja na hela, tukachukua bajaji hadi kariakoo, tukailipia pc tukasepa.
Nkajishauri nchukue namba au nsichukue, nkaamua nsichukue tu. Nliona anajishaua mno, na vile tako hamna ndo ikankata moto kabisa. Basi akasepa mimi nkarudi ofsini. Kesho yake yule mama kaja kuichukua pc maisha yakendelea.
Jumatatu tar 20 january mida ya saa 3 usiku ikangia txt ya salamu namba mpya, kumbe ni yule binti mhasibu, namba yangu alipewa na yule mama ile ijumaa lakini alivofika ofsini kwetu akaniulizia mlinzi akapiga simu so hakuona haja ya kuntafuta. Ndo amencheki hiyo j3 kunipa hi tu. Tukachat kizushi siku ikaisha.
Jana Jumanne mchana nimechat nae kizushi kasema anaishi na rafiki yake makumbusho, nkamuambia ukitoka kazini tuonane, kakubali. Saa 12 jion hivi tumekutana pale posta mpya azikiwe. Nkamuambia nsindikize home kuna documents nataka niziscan nitume kwa email af ndo tutoke akakubali.
Tukachukua bajaji haooo hadi home. Story story kizushi nkaweka na nyimbo za kibongo. kasema amechoka akajalaza kwenye sofa. Nkamafuata nkamuambia huwezi kulala hapa, nkambeba na alivyo portable hadi raha. Nkampeleka chumbani nkamlaza kitandani. Nkaanza kumchezea pale akawa anazingua zingua baadae kaachia tu, af na vile visketi vyao vya kazini, nkamueka sawa nkaanza kupiga mashine mpaka tukamaliza. Nkamuacha kalala nkaendelea na issues zingine. Saa 4 nmemuamsha nkampiga cha pili, kaenda kuoga nkamchukulia boda boda kaenda kwake.
Zishaanza txt za baby umeamkaje, nataka nimpotezee nisizijibu lakini ukauzu huo sina aisee.
Nmesoma visa vyako, we mwamba n finisher sana kama Martial
 
Back
Top Bottom