M
Hii hata mm iliwahi kunikuta, Kuna mdada aliwahi nikuta mida ya jioni amechoka kuzunguka anatafuta kazi za ndani mida kama saa moja na nusu, bahati nzuri mm Kuna mtu alinipa oda kama takutana na binti anatafuta kazi basi nimpeleke kwake, huyu jamaa anaehitaji mfanyakazi alikua anaishi mbali kidogo kama km 20, basi huyo binti nikamuambia alale pale geto kesho yake tampeleka akaanze kazi ukizingatia nilipiga simu sehemu husika nayeye akisikia,nililala nae chumba kimoja huyo binti mi nililala chini nikatandika mkeka, usiku akili akili ikawa inanituma nimle huyu binti lakini ikaja Imani takua nimechuma dhambi mtu Ana shida nianze kumfanyia hivo, najua atanipa kwakua anashida, roho ilikataa kabisa kumla ukizingatia mle ndani nilikua nakunywa k vant,hata huwa siamini huo ujasili wa kumuacha ulitoka wapi, yule binti nilimpeleka sehemu ya kazi huwezi amini hakumaliza mwezi jamaa anajipigia simu amemkuta huyu Dada wa kazi anakunywa ARV na kuanza kunilaumu mm kua huyu Dada anaweza ambukiza watoto wake, alimfukuza kazi, mpaka Leo huwa siamini kulala na huyo binti bila kumla