Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wakuu hapa napoishi ninaishi nyumba moja na mpangaji mwenzangu ni demu fulani ana tako la kichokozi, sasa tuna share choo, na kamba ya kuanikia nguo.

Sasa yeye akiona nimeanika nguo zangu, kwa pembeni ataanika chupi zake, sasa leo nimeenda kuoga nimeona chooni nyuma ya mlango katundika chupi tatu za pinki aisee wakuu hii inaashiria nini hafu wiki iliyopita nilianika soksi zangu kwenye kamba lakini sizioni na nimemuuliza kagoma kasema hakuziona na tunaishi wawili tuu ndani ya fensi.
Yani huyu mpaka leo kama hujamla utakuwa uko slow sana😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] et kinye 0

[emoji23][emoji23] Usije ukamponza bondita mwanetu ‘mabloo’ skuizi wanatembea na vilainishi ohoo!.
 
Back
Top Bottom