Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mzee unaelewa maana ya kuwa makini? [emoji3] Kuliwa Kinye 0 ni swala la kawaida sana hasa kwa vijana wa hovyo pale mjin daslam.
Hao ni wa dsm je' sisi wa mikoan? [emoji23][emoji23][emoji23] Ila leo Kinye 0 kingeliwa maana kunawatu walikuwa wanafatilia [emoji23][emoji23]
 
[emoji38] Wewe mzee mambo yasiwe mengi utaliwa kweli kinye 0 wala sio utani,mikoani kwani watu hawapendi kinye0?mishangazi yote ilivyojaa Mijini skuizi.
 
Wakuu nina majonzi;
Crush wangu leo kavishwa pete ya uchumba na mwanaume wake.... nimehuzunika sana. Nifanyeje? Au nimpigie mpenzi wangu nimwombe ushauri?
 
Juzi nilikula kizembe sana toto la Kiha
Huyu manzi nilimpiga mistari miaka mitatu iliyopita. Akaonyesha dalili baadae ghafla akanipiga block. Bahati mbaya ni ofisi jirani ambayo kila siku lazima tuonane. Japo yeye alikuwa ananikwepa maana alikula kama 50k hivi. Mimi nikampotezea huku nikimuonyesha sijamind kabisa.

Mwezi huu akaanza kunitumia sms za usiku mwema na kazi njema. Mara juzi kanialika kwake. Nimeenda pale sina hili wala lile tunapiga stori tu tena kwa makusudi nikakaa naye mbali kabisa. Mpaka saa 4 usiku, mwisho nikamuaga, tukanyanyuka anitoe getini.

Mara ghafla akazima taa na kunikumbatia. Mwanaume wa kukataa fursa kama hii hayupo, nikaliunga.

Heeee si akaniambia twende chumbani. Kwa hiyo wazee mwanamke akikuringia usitie hasira.
 
hongera,

sema hamnaga masihara wanakua wameshapanga😂

ni basi tu tunaenda na kichwa cha uzi.....
 
Juzi nilikula kizembe sana toto la Kiha
Huyu manzi nilimpiga mistari miaka mitatu iliyopita. Akaonyesha dalili baadae ghafla akanipiga block. Bahati mbaya ni ofisi jirani ambayo kila siku lazima tuonane. Japo yeye alikuwa ananikwepa maana alikula kama 50k hivi. Mimi nikampotezea huku nikimuonyesha sijamind kabisa.

Mwezi huu akaanza kunitumia sms za usiku mwema na kazi njema. Mara juzi kanialika kwake. Nimeenda pale sina hili wala lile tunapiga stori tu tena kwa makusudi nikakaa naye mbali kabisa. Mpaka saa 4 usiku, mwisho nikamuaga, tukanyanyuka anitoe getini.

Mara ghafla akazima taa na kunikumbatia. Mwanaume wa kukataa fursa kama hii hayupo, nikaliunga.

Heeee si akaniambia twende chumbani. Kwa hiyo wazee mwanamke akikuringia usitie hasira.
Umekuwa kimasikhara hapo kaka
 
Back
Top Bottom