Naona humu zimebaki stori za Nokia tochi, sijui Siemens...... Embu ngoja na mimi nishee moja ya stori zangu za kula kimasihara
Nakumbuka kipindi hicho ndio nimeanza kazi, nimepanga kageto kangu na kasebule. Sebuleni kuna TV tu na kakochi flani kakisela na nilikuwa na tabia ikifika mida ya saa tatu kwenda mbele nahamishia TV chumbani
Eneo nililokuwa naishi kulikuwa kuna wapangaji wengi sana, na kati ya hao wapangaji kulikuwa na mpangaji mmoja mbulu. Mtoto ni mzuri, sio mrefu sana lakini ana unywele kutoka Baghdad, pua kutoka Basra na rangi kutoka Najaf, chuchu ndogo kama za mtoto wa form 2. Kiufupi huyo mwanadafada kila kitu amepata kutoka Iraq, kasoro tako tu ndio ameiba kutoka usukumani ama kwa wahaya.
Huyu mtoto alikuwa ni wale mabinti ambao wapo mjini wamepanga chumba, na unakuta weekend flani inakuja njemba kwake, halafu siku za kazi huioni tena. Kiufupi mimi nilikuwa namchukulia kama hawara wa jamaa kwani huyo jamaa pia kuna baadhi ya weekend alikuwa haji pale tunapoishi. Huyu binti alikuwa anaringa kiaina, nadhani ni kutokana na uzuri wake na huduma anazopatiwa na jamaa yake, kwani nilikuja kujua baadae kwamba huyu mzichi anafanya kazi kwenye mashirika ya kiserikali na mpunga anao wa kutosha.
Huyu binti alikuwa ni mzuri sana na mwanaume yoyote mzima angemtamani, lakini kwa jinsi nilivyo mimi huwa hata kama natamani demu huwa si mshobokeaji sana, kwa hiyo hata mazoea kati yangu mimi na yeye yalikuwa ni salamu tu, kuchangiashana hela ya umeme na stori mbili tatu.
Siku moja nipo geto mida ya saa 3 usiku nacheki TV chumbani, nikasikia hodi ya sauti ya kike inagongwa nikasema karibu, nikaona kimya mtu haingii, nikatoka sebuleni nikasogea hadi mlangoni, nilipochungulia nje ili kujua ni nani huyo, nikakuta ni jirani.
Nirudi nyuma kidogo, siku za nyuma huyu dada alipohamia hapo kwenye nyumba niliyokuwa ninaishi niliwahi kumchombeza huyu demu na kumkaribisha geto, akanijibu we kaka jiheshimu, basi tangu siku hiyo ikawa ni salamu tu, na baadaye ikawa ni salamu na kuombana viberiti n.k. Kama kawaida ya mabachela nikawa naendelea kuvusha watoto wazuri na yeye akishuhudia baadhi matukio.
Baada ya kuchungulia mlangoni na kukuta ni jirani Mwarabu wa Karatu nikamuuliza vipi, unataka kiberiti, akajibu hapana, ninaomba nije kuangalia mchezo/tamthiliya ya kibongo, nikamwambia karibu, basi akaingia, nikamwambia lakini mwenzio nilikuwa naagalizia TV chumbani, kwa kusitasita, mtoto akaingia chumbani. Nikamuuliza huwa unaifuatilia huu mchezo, siku nyingine huwa unaangalia wapi, akasema huwa naangalia kwangu ila TV imegoma kuwaka.
Basi kwa kuwa mimi huwa sifuatilii tamthiliya za kibongo nikawa nimelala tu kitandani, binti yeye anaangalia tamthiliya akiwa amekaa kitandani. Nikasema ngoja niwe gentleman kwa mgeni.
Niwe mkweli, mwanzo wakati huyu binti anaingia chumbani, sikuwa na wazo kabisa la kumgonga, maana kiukweli majibu yake ya siku ile ya kuniambia nijiheshimu yalinikera sana. Lakini kadiri ya muda ulivyokuwa unakwenda, nikaanza kuingiwa na mawazo ya kibaharia, nikaanza kumwangalia kwa kuibia, ndipo nilipogundua na yeye akili yake kwa sehemu kubwa haikuwa kwenye kuangalia mchezo.
Nikamua kwenda toilet na kurudi ndani, ile narudi ndani ndio nagundua kuwa kumbe huyu kiumbe alikuwa amevaa nguo ambazo zinavulika kirahisi, alikuwa hajavaa jeans tight (hilo tu ndio naweza kusema). Baada kama ya dakika 5 mchezo ukaisha nikaona yule binti kama anataka kusema kitu lakini anasita, baada ya dakika kadhaa mbele akawa anaaga aondoke, nikamwambia poa usiku mwema (hapa akili yangu kichwani ilikuwa inasema akiwa serious anaondoka, hafiki mlangoni namrukia namrudisha, leo lazima agegedwe mtu hapa, lakini wakati huo huo nasema ngoja na yeye nimringie kiaina, kichwani bado nakumbuka majibu mabovu aliyowahi kunipa) .
Pamoja na kuaga nikaona mtoto haondoki, nikawa namuangalia kwa kuibia na yeye anaangalia TV. Ikapita nusu saa tena akaaga nikazuga kama sijasikia, tukaendela kuwa bize kimawazo (sijui yeye alikuwa anawaza nini, ili mimi nilikuwa nawaza lazima nimgegede leo)
Basi safari hii akaaga huku ananyanyuka, akawa anatoka kama hataki kutoka, nikamwambia unaenda wapi, akasema naenda kulala, nikamwambia kwani hapa hakuna kitanda cha kulala, akawa anajiumauma, nikanyanyuka, nikashuka kitandani, nikamshika mkono huku namvutia kwa bedi naona anakuja, nikaenda sebuleni nikafunga mlango nikamkuta demu yupo kwa bedi amepanda kabisa, nikapanda na mimi kitandani, nikaanza kumpiga mabusu ya nje (sio denda), huku mikono inapita kiunoni na kuminya minya makalio laini ya huyu mtoto mzuri.
Tukaendelea kupiga foreplay baada ya kila mtu kutupa nguo zake huko, nikapiga finga za kutosha huku nanyonya chuchu zake zenye ukubwa wa ngumi ya Mwakinyo, wakati huo demu anagumia na kutoa milio isiyoeleweka. Nikampiga ndimi kila kona ya mwili ikiwemo masikioni, shingoni, tumboni, kitovuni, mapajani, magotini, kasoro kwenye K.
Baada ya foreplay ya kama zaidi ya dakika 30, demu akawa anaomba dyudyu, nikasema kweli leo mbuzi kafia kwa mpika supu, nikashuka chini ya kitanda, nikaingiza mkono kwenye begi,nikachomoa zana ya kazi nikarudi kitandani. Shughuli ya kuchana mbao ikaanza, ilipigwa show baada ya kama dakika 20 round ikaisha, ikabidi tupumzike.
Nikamtania demu vipi huendi kulala kwako, akasema kwani hapa hamna kitanda, nikacheka na yeye akacheka. Baadae tena, game ikafufuliwa tena, ikapigwa show hapa zaidi ya 45 minutes ambayo iliibidi tupumzike bila hata ya kufika mountain kilimanjaro (kwa upande wangu) ila demu, anaonekana alikuwa kajijojolea vya kutosha maana yeye ndio aliyeomba poo.
Baada ya dakika kadhaa nikataka niliamshe dude, demu akawa anasema amechoka, basi mimi nikaa kaa kitandani, nikapitiwa na usingizi, kwenye saa 8 usiku nastuka, naona mtu analishika shika dyudyu huku analinyonya. Nikaamka, show ikaanza upya.....kwa Ufupi huyu demu nilimgonga siku hiyo kwa hasira, kesho yake saa 11 alfajiri ikabidi awahi geto kwake majirani wasijeshitukia mchezo.
Kuanzia siku hiyo, nikawa nikataka kumgonga, au akitaka kugongwa ananitumia meseji nataka nije kuangalia tamthiliya, au mimi namwambia njoo uangalie tamthiliya. Akija show inapigwa ya kukamuana ute ute mwilini.
Demu baadae alikuja kuhama sehemu tuliyokuwa tunaishi na tukapotezana kimawasiliano.