Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
- Thread starter
-
- #41
Ni miezi tisa imepita sijarudi home hadi leo na sina mpango wa kurudi, nilimwachia kila kitu likiwemo jukumu la kulipa kodi ya nyumbaEbu malizia vizuri story.. Kwahiyo mmeachana mazima yaani ndio haujarudi milele home au?
Labda atakuwa na kofi jepesi sana. Au muonekano wake unakuwa wa kawaida.Mimi huwa narudisha....mtu haiwezi kunipiga kindezi.
The same story and sijarudi Tena Kwa yule myamweziWaje tu tupeane ukweli, wanawake wa kinyiramba ni hovyo mno 😁
Mie najua ni chuki binafsi ya huyo mnyiramba ndio ilimfanya nitupiwe mahabusuUkikaa na kutulia,unadhani kwa nini ulitupwa mung'anda/mahabusu?
Kaka pole sana NAMI yalinikuta hayo japo sijawahi nyanyua mkono wangu kumpiga nilichoka manenona kelele zake TU nikaamua kuchukua begi niondoke , akatoka nje akafunga mlango huyoo police Ety namtishia maisha duh yule myamwezi Sina ham naeWaje tu tupeane ukweli, wanawake wa kinyiramba ni hovyo mno 😁
Hapa ndio ulifanya la maana.sikurudi home niliamua tu kuachana na huyo mwanamke wa kinyiramba.
Mkuu na wewe yalikukuta?The same story and sijarudi Tena Kwa yule myamwezi
Pole sana bestKaka pole sana NAMI yalinikuta hayo japo sijawahi nyanyua mkono wangu kumpiga nilichoka manenona kelele zake TU nikaamua kuchukua begi niondoke , akatoka nje akafunga mlango huyoo police Ety namtishia maisha duh yule myamwezi Sina ham nae
Nawe mkuuPole sana best
Vipi baada ya kuachana naye ulioa mwingine?Nawe mkuu
Mkuu Bado ndio naangalia bahatiVipi baada ya kuachana naye ulioa mwingine?
Uliyekuwa ukimuita mkeo awe na chuki binafsi na wewe?Mie najua ni chuki binafsi ya huyo mnyiramba ndio ilimfanya nitupiwe mahabusu
Natoka kesho yake nakuta nyumba inanichekea Haina hata box kakomba kaondokaVipi baada ya kuachana naye ulioa mwingine?
Kuna kenge moja imejaa kwa mnyiramba na imeanzisha uzi humu leo.Waje tu tupeane ukweli, wanawake wa kinyiramba ni hovyo mno 😁
Mimi nitamtetea.Unaye "Kibatala" wa kukutetea? Ni hatari sana kuwataja wakuu hao kwa majina yao kabisa.
huwezi kufa kwa kupigwa makofi mashavuniPole, kosa ilikuwa ni kumpiga, shukuru kaenda polisi mwenyewe, Binadamu wenyewe weshakuwa kuku wa kisasa angekufia hapo hali ingekuwa mbaya zaidi. Huyo hakufai, atakuletea mabalaa.
Hivi tabia huwa mtu anazaliwa nayo au hufundishwa na kabila lake/mazingira ya kimakuzi na malezi?Kuna kenge moja imejaa kwa mnyiramba na imeanzisha uzi humu leo.
Hili kabila halifai kuoa