Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

Ulishawahi kulazwa kituo cha polisi na mkeo?

Sikurudi nyumbani kwa siku tatu.
Tulipokuwa tunakaa sio mbali na kwao, ni mji mmoja. Nikaamua kuwapeleka watoto kwa bibi yao (mama yake) lakini nikamsimulia kilichotokea na kumuomba asimwambie nataka kumfundisha tu asiwe anapenda kukimbilia polisi kwa tatizo dogo kama hilo. Mama akakubali (alikuwa ananipenda sana kama mkwe anaemjali) akawa anampigia simu mwanae kuhakikisha yuko salama (huruma ya mzazi) lakini hasemi chochote kuhusu watoto.

Baada ya siku 3 nikarudi home peke yangu, akauliza watoto nikamwambia siku ile ulivyoamua kuwaacha na njaa ulitegemea wanaangaliwa na nani? Nimeona huwajali nimewapeleka kituo cha watoto yatima😅. In short aliteseka sana mpaka kujua watoto walipo, maana polisi aliogopa kurudi tena, nyumbani kwao hakutaka kuwaeleza ukweli wa tukio maana ni aibu kwake na kwao nakubarika sana wangembadikikia wote.

NB: ukitaka kumaliza kiherehere cha mwanamke, waweke karibu ndugu zake, hasa mama. Automatically anakosa mtetezi kwao.
Somehow the end is funny 😂😂😂
 
Mlikuwa hamna watoto? Lakini kumbuka kama mlikuwa mmefunga ndoa basi kisheria bado anahesabika ni mke wako na wewe bado unahesabika ni mume wake. Jamaa mmoja alinichekesha aliniambia alipokuwa anakwenda Ulaya alipewa ushauri huu: ''ukifika huko fanya chochote lakini usithubutu kupiga paka, mbwa au mwanamke''.
Ungeza na kuupiga mtoto.
 
His wife did unwise act to his husband,he called Kanjo on him wich caused his husband to sleep in cell.fortunately to him and unfortunately to his wife the marriage ended there.
So, we can't expect him to narrate the story in remorseful way.

Wanawake mtafute hakima walizokuwa nazo mama zetu.
Kesi kama hizi zilikuwa zinaishia uani tu.
My apologies to him, kumbe hakuwa amempiga mkewe, ila mkewe alikimbilia polisi labda baada ya kugombezwa on why hajawapikia watoto.

Mwanzo nilidhani amepelekwa polisi kwasababu kamkung'uta mkewe na ameenda kuwavimbia makanjo.
 
My apologies to him, kumbe hakuwa amempiga mkewe, ila mkewe alikimbilia polisi labda baada ya kugombezwa on why hajawapikia watoto.

Mwanzo nilidhani amepelekwa polisi kwasababu kamkung'uta mkewe na ameenda kuwavimbia makanjo.
Bado.Kasome upya uelewe.
 
Kwasababu mianamke ya kiafrika inaona kawaida kuongea na mwanaume wake bila adabu ya kike. Unamfokea mwanaume ili ugundue nini zaidi ya kipigo.
Na tutaendelea kuwalaza ndani hadi mtakapoamua kutumia akili.
 
Ni zaidi ya mara tano wife ananipeleka polisi,sijawahi kumuacha na sifikirii kumuacha Mama Jack wangu labda kifo kitutenganishe,

Asilimia themanini ya matatizo ya mwanamume hapa duniani husababishwa na mwanamke,kuna watu wapo jela,wamefungwa miaka mingi kwaajili ya mademu tu tena siyo mke.
 
Back
Top Bottom