Hakuonekana na sidhani hata kama walimtafuta, hatukujua tena kilichoendelea.Huyo masai alistahili adhabu kali mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuonekana na sidhani hata kama walimtafuta, hatukujua tena kilichoendelea.Huyo masai alistahili adhabu kali mno.
Kwasababu mianamke ya kiafrika inaona kawaida kuongea na mwanaume wake bila adabu ya kike. Unamfokea mwanaume ili ugundue nini zaidi ya kipigo.Ila mianaume ya kiafrika!! Kwanini uone kumpiga mkeo ni kawaida ila wewe kukusweka ndani ni tatizo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Itakuwa alikimbilia porini huko, wanafanana wote wakiwa kule.Hakuonekana na sidhani hata kama walimtafuta, hatukujua tena kilichoendelea.
Somehow the end is funny 😂😂😂Sikurudi nyumbani kwa siku tatu.
Tulipokuwa tunakaa sio mbali na kwao, ni mji mmoja. Nikaamua kuwapeleka watoto kwa bibi yao (mama yake) lakini nikamsimulia kilichotokea na kumuomba asimwambie nataka kumfundisha tu asiwe anapenda kukimbilia polisi kwa tatizo dogo kama hilo. Mama akakubali (alikuwa ananipenda sana kama mkwe anaemjali) akawa anampigia simu mwanae kuhakikisha yuko salama (huruma ya mzazi) lakini hasemi chochote kuhusu watoto.
Baada ya siku 3 nikarudi home peke yangu, akauliza watoto nikamwambia siku ile ulivyoamua kuwaacha na njaa ulitegemea wanaangaliwa na nani? Nimeona huwajali nimewapeleka kituo cha watoto yatima😅. In short aliteseka sana mpaka kujua watoto walipo, maana polisi aliogopa kurudi tena, nyumbani kwao hakutaka kuwaeleza ukweli wa tukio maana ni aibu kwake na kwao nakubarika sana wangembadikikia wote.
NB: ukitaka kumaliza kiherehere cha mwanamke, waweke karibu ndugu zake, hasa mama. Automatically anakosa mtetezi kwao.
Inawezekana kabisaItakuwa alikimbilia porini huko, wanafanana wote wakiwa kule.
Nani kakupa hitimisho kwamba mimi ni mnyiramba?Soma komenti nilizoandika.Kipigo siyo suluhu bora.Ulitaka mwana afanye nini wewe mnyiramba..?
Ungeza na kuupiga mtoto.Mlikuwa hamna watoto? Lakini kumbuka kama mlikuwa mmefunga ndoa basi kisheria bado anahesabika ni mke wako na wewe bado unahesabika ni mume wake. Jamaa mmoja alinichekesha aliniambia alipokuwa anakwenda Ulaya alipewa ushauri huu: ''ukifika huko fanya chochote lakini usithubutu kupiga paka, mbwa au mwanamke''.
My apologies to him, kumbe hakuwa amempiga mkewe, ila mkewe alikimbilia polisi labda baada ya kugombezwa on why hajawapikia watoto.His wife did unwise act to his husband,he called Kanjo on him wich caused his husband to sleep in cell.fortunately to him and unfortunately to his wife the marriage ended there.
So, we can't expect him to narrate the story in remorseful way.
Wanawake mtafute hakima walizokuwa nazo mama zetu.
Kesi kama hizi zilikuwa zinaishia uani tu.
Bado.Kasome upya uelewe.My apologies to him, kumbe hakuwa amempiga mkewe, ila mkewe alikimbilia polisi labda baada ya kugombezwa on why hajawapikia watoto.
Mwanzo nilidhani amepelekwa polisi kwasababu kamkung'uta mkewe na ameenda kuwavimbia makanjo.
Sawa mnyirambaNani kakupa hitimisho kwamba mimi ni mnyiramba?Soma komenti nilizoandika.Kipigo siyo suluhu bora.
Kuna mleta mada na kuna huyu nimemqoute sana kwa huu uzi. Yupi unamsemea?Bado.Kasome upya uelewe.
Kwa hiyo ukiniita mnyiramba ndiyo muda huohuo nakuwa mnyiramba?Sasa inabidi niachane na kabila langu na nimebadili kabila kuanzia sasa!Happy now?Sawa mnyiramba
Mleta uzi alimpapasa kwa makofi(mbata hadi akawehuka na kukimbilia polisi)aliyekuwa mke wake.Kuna mleta mada na kuna huyu nimemqoute sana kwa huu uzi. Yupi unamsemea?
Sina uhakika kama afande alijipakulia usiku huoKAMA KWELI ,uliachana nae jambojema mana usiku huo alikuwa kiponzeo cha afande
Sio mnyiramba kweli wewe?Ila mianaume ya kiafrika!! Kwanini uone kumpiga mkeo ni kawaida ila wewe kukusweka ndani ni tatizo😳😳😳😳
Na tutaendelea kuwalaza ndani hadi mtakapoamua kutumia akili.Kwasababu mianamke ya kiafrika inaona kawaida kuongea na mwanaume wake bila adabu ya kike. Unamfokea mwanaume ili ugundue nini zaidi ya kipigo.
Ahahaaaaaa...! Kuna watu machizzzzxDawa ni kuoa polisi mwenye cheo.
Namnyemelea Suzan Kaganda, akijaaa naoa kabisa
Kama mumeo hatasepa basi mganga wako ni kibokoNa tutaendelea kuwalaza ndani hadi mtakapoamua kutumia akili.
Kwa nini afananishwe na chizi?Kwani yeye hataki kupendwa na hajui kupenda?Kitakachomzuia ni kuwa kwenye ndoa tu.Ahahaaaaaa...! Kuna watu machizzzzx