kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
ALIMTAFUNA,kumbukumbu ziko hivyoSina uhakika kama afande alijipakulia usiku huo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ALIMTAFUNA,kumbukumbu ziko hivyoSina uhakika kama afande alijipakulia usiku huo
Eti suzani anakusemea huyu vipi huyuKwa nini afananishwe na chizi?Kwani yeye hataki kupendwa na hajui kupenda?Kitakachomzuia ni kuwa kwenye ndoa tu.
Wewe ndiye unataka kutuaminisha Suzy hapendi kupendwa na wala hahitaji kupenda.Eti suzani anakusemea huyu vipi huyu
Aisee story yoote moyo wangu ulikuwa unasubir kujua ulimfanyaje baada ya kutoka daah.Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.
Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya wakachanga milioni 3. Zile mbili zilizopungua mke wangu alikuja kuniomba nitoe hizo hela ili kukamilisha malipo ya dhamana.
Sikuwa na hiyo hela, nilimwambia wazi kuwa sina hela. Kilichotokea sasa baada ya kumwambia hivyo alinifokea kwa ukali akinituhumu kuwa nina roho mbaya na sipendi kusaidia ndugu zake Ila naweza kuhonga malaya tu huko mitaani.
Sikufurahishwa na hayo aliyoniambia so nilimfata na kumcharaza kwa vibao vitatu vya shavu ili kumshikisha adabu. Alipiga yowe la uchungu na kutoka baru akatokomea sijui wapi huko.
Baada ya kama lisaa limoja hivi nilipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni polisi akinitaka nifike kituoni, nilishangaa Ila niliitikia wito.
Nilipofika kituoni mshangao wangu ukawa mkubwa zaidi baada ya kumkuta mke wangu yupo hapo na alifika hapo kuripoti kuwa nimemshambulia kwa kukusudia. Nilishindwa kujitetea maana ni kweli nilimpa Kichapo.
Afande aliyeshughurikia hayo malalamiko ya mke wangu alisema hawezi kulimaliza hilo suala muda huo maana ilikuwa ni saa mbili usiku, atalishughurikia kesho yake asubuhi. Afande alimtaka mke wangu arudi nyumbani Ila mimi sikuruhusiwa kurudi nyumbani bali nilitakiwa kulala hapo kituoni.
Muda mfupi baada ya mke wangu kuondoka niliamriwa na afande wa zamu kuvua viatu na mkanda wa suruali kisha nikasukumwa kwenye kachumba kasiko na dirisha wala taa nikawa nimelala polisi kwa mara ya kwanza.
Nililala kwa usiku mmoja tu, asubuhi tuliyamaliza mambo ya kipolisi kishikaji nikaachiwa huru asubuhi hiyo.
Nikiwa na hasira kali sikurudi home niliamua tu kuachana na huyo mwanamke wa kinyiramba.
Tuliowahi kulazwa polisi na wake zetu tujuane hapa.
Wanyiramba huongea sana, ujuaji na ushindani. Ila kwenye maendeleo ni 0%Nilimuacha, na niliapa sintooa mwanamke wa kinyiramba.
Au yeye ndiye aliolewa kwa mwanamke wa kinyiramba 😁😁Ebu malizia vizuri story.. Kwahiyo mmeachana mazima yaani ndio haujarudi milele home au?
Una hatari sanaDawa ni kuoa polisi mwenye cheo.
Namnyemelea Suzan Kaganda, akijaaa naoa kabisa
Na kweli tuna viherehere sana.Sikurudi nyumbani kwa siku tatu.
Tulipokuwa tunakaa sio mbali na kwao, ni mji mmoja. Nikaamua kuwapeleka watoto kwa bibi yao (mama yake) lakini nikamsimulia kilichotokea na kumuomba asimwambie nataka kumfundisha tu asiwe anapenda kukimbilia polisi kwa tatizo dogo kama hilo. Mama akakubali (alikuwa ananipenda sana kama mkwe anaemjali) akawa anampigia simu mwanae kuhakikisha yuko salama (huruma ya mzazi) lakini hasemi chochote kuhusu watoto.
Baada ya siku 3 nikarudi home peke yangu, akauliza watoto nikamwambia siku ile ulivyoamua kuwaacha na njaa ulitegemea wanaangaliwa na nani? Nimeona huwajali nimewapeleka kituo cha watoto yatima😅. In short aliteseka sana mpaka kujua watoto walipo, maana polisi aliogopa kurudi tena, nyumbani kwao hakutaka kuwaeleza ukweli wa tukio maana ni aibu kwake na kwao nakubarika sana wangembadikikia wote.
NB: ukitaka kumaliza kiherehere cha mwanamke, waweke karibu ndugu zake, hasa mama. Automatically anakosa mtetezi kwao.

Toka apa na shangazi zako 😅😅😅😅😅Daaah aisee nakumbuka hapo majuzi kati aunt(mshangazi) alisema nimechukua laptop yake...
Alinitishia kunipeleka polisi.
ilibidi niende polisi aiseeee
Alikuja kuiona mana wanasema alisahau kwa gari la rafiki ake sijui.
Mpaka leo nimemkaushia tuu maana naona ana wenge sana aiseeee
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Pole sana mkuuNililala kwa usiku mmoja
Mashangazi sometimes wanazingua...Toka apa na shangazi zako 😅😅😅😅😅
Unaruhusiwa kuolewa na wanaume hao waliolegea wa ulaya Lakin.Ila mianaume ya kiafrika!! Kwanini uone kumpiga mkeo ni kawaida ila wewe kukusweka ndani ni tatizo😳😳😳😳
Hatari na nusuUna hatari sana
HataUna hatari sana
Mkeo alifanya uamuzi sahihi ila wewe na gubu lako ukashindwa kuelewa! Siku hiyo ulimpiga vibao asingeenda polisi kuna siku ungempiga na mwichi ukamuua kabisa.Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.
Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya wakachanga milioni 3. Zile mbili zilizopungua mke wangu alikuja kuniomba nitoe hizo hela ili kukamilisha malipo ya dhamana.
Sikuwa na hiyo hela, nilimwambia wazi kuwa sina hela. Kilichotokea sasa baada ya kumwambia hivyo alinifokea kwa ukali akinituhumu kuwa nina roho mbaya na sipendi kusaidia ndugu zake Ila naweza kuhonga malaya tu huko mitaani.
Sikufurahishwa na hayo aliyoniambia so nilimfata na kumcharaza kwa vibao vitatu vya shavu ili kumshikisha adabu. Alipiga yowe la uchungu na kutoka baru akatokomea sijui wapi huko.
Baada ya kama lisaa limoja hivi nilipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni polisi akinitaka nifike kituoni, nilishangaa Ila niliitikia wito.
Nilipofika kituoni mshangao wangu ukawa mkubwa zaidi baada ya kumkuta mke wangu yupo hapo na alifika hapo kuripoti kuwa nimemshambulia kwa kukusudia. Nilishindwa kujitetea maana ni kweli nilimpa Kichapo.
Afande aliyeshughurikia hayo malalamiko ya mke wangu alisema hawezi kulimaliza hilo suala muda huo maana ilikuwa ni saa mbili usiku, atalishughurikia kesho yake asubuhi. Afande alimtaka mke wangu arudi nyumbani Ila mimi sikuruhusiwa kurudi nyumbani bali nilitakiwa kulala hapo kituoni.
Muda mfupi baada ya mke wangu kuondoka niliamriwa na afande wa zamu kuvua viatu na mkanda wa suruali kisha nikasukumwa kwenye kachumba kasiko na dirisha wala taa nikawa nimelala polisi kwa mara ya kwanza.
Nililala kwa usiku mmoja tu, asubuhi tuliyamaliza mambo ya kipolisi kishikaji nikaachiwa huru asubuhi hiyo.
Nikiwa na hasira kali sikurudi home niliamua tu kuachana na huyo mwanamke wa kinyiramba.
Tuliowahi kulazwa polisi na wake zetu tujuane hapa.
Wako wapi??Ahahaaaaaa...! Kuna watu machizzzzx
Mashangazi ndo wenye jokeri...imshort hata wazingue bado wanakujaza kwenye mfumoMashangazi sometimes wanazingua...
Wanajua watu tuna njaa njaa za kingese sijui 😂😂😂😂😂😂😂😂
Nika quit mapema kabisa sinaga mambo mengi 😂😂😂😂😂
Wabongo polisi mnapachukulia kama sehemu fulani yenye laana ilhali ni sehemu kwa ajili yetu kuhakikisha tunaishi kwa amani. Huyo jamaa kupelekwa polisi ilikuwa halali kabisa ili siku nyingine atumie akili kwenye situation kama hiyo.Ulifanya jambo jema sana kuachana na huyo Mwanamke,
Never re-friend someone that has tried to destroy your character,Money or relationship
A Snake only sheds it's skin,
There's certain disrespect that an apology or explanation just doesn't fix.
Ulioa familia masikini sana , 5 M wanajichanga na Bado haikutimia? Shukuru Mungu kilitokea hicho kisanga , wangekufanya chuma uleteNiliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.