Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

sante shangazi naumwa halaf ungejua hayo mambo nina mda sana [emoji85] [emoji85] ujue nimeshasahau hata wanafanyaje
Shangazi kwani mambo gani unaongelea?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Kimsingi nawapenda na kuwaheshm sana wana JF wote hata kama mtu aki ni discourage nafurah kwa kuwa ananijengea uwezo wa kufikiri na kufanya zaidi ya nilipo... sijawahi kumchukia mtu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…