Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Aisee shunie mm au shunierapaNi shunie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee shunie mm au shunierapaNi shunie
Pole dear sikulijua hilo Mwenyez Mungu aiimarishe afya yakonilikua naumwa mpenzi
Haya kua hivyo eeh.... ukiwa mkorofi zawadi zangu sahauhahahh sijikuzi tena bamdogo
😀😀😀Jamani, hata kazawadi??
Mdogo wangu hujambo.?Hahaha... sio wewe nilimaanisha shunie [emoji16][emoji16]. Eti nikuamkie mimi mkubwa mkubwa wewe
Shangazi kwani mambo gani unaongelea?sante shangazi naumwa halaf ungejua hayo mambo nina mda sana [emoji85] [emoji85] ujue nimeshasahau hata wanafanyaje
nitaacha tu endapo mwenyewe akatae ila nitairudishaGood..
This is you now..! Mambo ya kuwekq Av. za L uache..
Ushabadilisha Av. so take it easyAisee shunie mm au shunierapa
he he leo hii sawaWewe si ndo sudi mwenyewe au...
Najua unanichukia!nitaacha tu endapo mwenyewe akatae ila nitairudisha
sio rayyoungrBinafsi humu jf nishawahi kumchukia jamaa mmoja alikuwa anasuport zile sera za kina David Cameroon ..
Ila nishamsahau sasa.
ushindweeeMmmmh
Na kweli naona mmekuja pamoja
Alhamdulillah.[emoji2] [emoji2] Mzee hajambo, na Namshukuru M/Mungu wiki mbili hizi tulianza mazoezi ya Gym kuimarisha nyonga mambo yalikwenda vizuri maana mpaka sasa naweza sema amepona kwa kiasi kikubwa
hahahhh ngoja ajeNakuonaa nakuonaaa
me mwenyewe mkubwa mkubwaHahaha... sio wewe nilimaanisha shunie [emoji16][emoji16]. Eti nikuamkie mimi mkubwa mkubwa wewe
Sijawahi muonaAnaitwa somebody MEKI
Mkubwa mkubwa mamdogo wako sio wewe.me mwenyewe mkubwa mkubwa