alquin maxmillian madoro
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 374
- 251
Wewe unawachukia wanaoandika shit humu ee[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Mimi nawachukia watu saana humu. Mfano kuna mtu kacomment hapo juu nataka kutapika hapa.
Aptyuuu
Unaweza ukawa unasema kweli, kipindi cha nyuma mkuu hata kama ni utani basi ulikuwa huchagui maneno ya kutumia, mimi binafsi sikuwahi kugongana mahali popote na wewe kwa sababu tu ya kutopenda kujiharibia siku.
Nadhani hata wewe unakumbuka Ban zilivyokuwa zinakuandama, ila siku hizi naona kabisa hata wale wanaokuchokoza unawachunia au kuwajibu vizuri, kitu ambacho kipindi kile ungetegemea kuona matusi.
Uukirudi nyumbani jioni Nikumbushe nikung'ate sikio[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu ning'ate sikio nani huyo nikamuamshie popo.
Hey mi mgeni humuMambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
Krb ....!!!Jamani mi mgeni naombeni urafiki
Nimefuarahi leo kumjua aliyekuwa akinipa BAN. Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa kuweza kukiri japo Kidiplomasia zaidi ila wenye upeo uliotukuka tumeshakuelewa.
HongeraMambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uukirudi nyumbani jioni Nikumbushe nikung'ate sikio
Km ulikuepo ktk mind yangu vile,Nyani Ngabu much know sana bashite yuleNgabu. Anapenda sana league na ujuaji. [emoji41]
Ni vizuri kupingana kwa hoja na sio kwa matusi! Maana kila anaeamini anachokiongea ana misingi yake Hivyo basi ni jitihada za mtoa hoja kumshawishi anaowaandikia na wao kukubaliana naye au kukubali kutokubaliana nae kwa amani.umeongea point. kuna baadhi yao humu. naona wanakuwaga na chuki na wenzao. unaweza mquote akakujibu shit balaa
ila kuna watu hawanipendi
Huyo alikuingiza mjini mdogo wanguTeh teh teh Mimi yupoo namjua kwa picha kbsaaa lbd ukute alinitumia ya uwongo yani simpendi mpk shetani wanajua simpendiii.......
..najua anajijuaaaa[emoji57] [emoji57]