Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

nawachukia ma moderator wote wamezidi uonevu kupiga ban bila sababu za msingi na kufikiri tutaishi milele na jamii forum pekee, Mungu wangu awalaani na kizazi chenu wote
 
Ndo kinachotakiwa
 
Mimi nawachukia sana watu ambao wanatoa ushauri wao out of thread, halafu unakuta umeomba msada wa kitu fulani, na Uzi ushatembea hadi umefikia page nyingi tu lakini bado hujapata jibu sahihi
Pole.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…