Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana. ulijuaje sasa kama ni shushushu???
Pole nami mdadisi. Unadhani alikuja kukuchunguza ww???Kuna dalili fulani niliziona toka kwake na mimi najuana na baadhi ya hao watu.
Wapo wanaochukiaUwezi kumchukia mtu ambaye humjui
Pia ni ujinga mtu akikukela bora umwambie maana aya ni maisha tu
KweliWanaochukia wajinga tu,maana kwa MTU anaejua Uhuru Wa mawazo hawezi chukia
Sent from my 4034X using JamiiForums mobile app
Ndo kinachotakiwaSijawahi kumchukia mtu humu. Ila kuna wanaonikera sana kwa uchangiaji wao.
Kuna mtu unaweza ukakwaruzana nae kwenye group la siasa,ila ukaenda kwenye chit chat ukafurahi kwa alichopost. Au akakukera kwenye Habari Mchanganyiko ila mkacheka pamoja MMU.
Ila saying the truth kuna member mmoja hakuna thread yoyote aliyowahi kuanzisha (ambazo nilizipitia) au sehemu yoyote aliyowahi kucomment alafu nikamuelewa. Mara kama 3 hivi nishawahi kutaka ufafanuzi tukaishia kukerana na majibu yake.
Ila nilivyogundua sio mimi tu ambaye hatuivi pamoja,nikaamua kutemana nae. Now days sim "quote" kwa chochote.
Hao wanao [emoji7]![]()
![]()
![]()
![]()
hao hapo![]()
Pole.Mimi nawachukia sana watu ambao wanatoa ushauri wao out of thread, halafu unakuta umeomba msada wa kitu fulani, na Uzi ushatembea hadi umefikia page nyingi tu lakini bado hujapata jibu sahihi
Unajikuta unaongeza siku za kuishimi yule makonda oyeee Mara ya kwanza nilikua namchukia...ila sasa hivi namuona kama kituko yani nikionaga ile oyeeeee nacheka balaaa
Walovaa vitait vya pink ndo wananguHao wanao [emoji7]
Ndo hiyo apoWeka picture yako halisi nione km ntakuchukia au veepe
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji7]You have everything beautiful that you deserve to be extremely loved,kama kuna MTU anakuchulia tofauti hakudeserve hata kidogo,piga chini,futa na delete kabisa,..unaitaj MTU atakuwezesha kujisikia vizur tu na kuisaidia kujua nafsi yako vyema,ukiona MTU anakua tofauti na hayo kwako,hafai hata kusema jina lako,..You are most beautiful one I have ever seen,so be yourself is enough, to make my world go round,You are the princess and precious!
Sure.Ndo kinachotakiwa
YeahSure.
Ngoja nami nitafute mapachaWalovaa vitait vya pink ndo wanangu
Kazana mamaNgoja nami nitafute mapacha
Ivi unakazanaje [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kazana mama