Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

nawachukia ma moderator wote wamezidi uonevu kupiga ban bila sababu za msingi na kufikiri tutaishi milele na jamii forum pekee, Mungu wangu awalaani na kizazi chenu wote
 
Sijawahi kumchukia mtu humu. Ila kuna wanaonikera sana kwa uchangiaji wao.

Kuna mtu unaweza ukakwaruzana nae kwenye group la siasa,ila ukaenda kwenye chit chat ukafurahi kwa alichopost. Au akakukera kwenye Habari Mchanganyiko ila mkacheka pamoja MMU.

Ila saying the truth kuna member mmoja hakuna thread yoyote aliyowahi kuanzisha (ambazo nilizipitia) au sehemu yoyote aliyowahi kucomment alafu nikamuelewa. Mara kama 3 hivi nishawahi kutaka ufafanuzi tukaishia kukerana na majibu yake.

Ila nilivyogundua sio mimi tu ambaye hatuivi pamoja,nikaamua kutemana nae. Now days sim "quote" kwa chochote.
Ndo kinachotakiwa
 
f791a1a75f318d12fd1aab86f554c86e.jpg
7bd761f4f33bfa43023896588c3c8496.jpg
bde9ebf57e724836035bcbee51e243d4.jpg
6e664edc004266e52c45209090d406d0.jpg
92543e7c4a48f3ba147dc5c7f67d5ebb.jpg
4197b7dfe5ae6e561055028e8598f2a4.jpg
hao hapo
Hao wanao [emoji7]
 
Mimi nawachukia sana watu ambao wanatoa ushauri wao out of thread, halafu unakuta umeomba msada wa kitu fulani, na Uzi ushatembea hadi umefikia page nyingi tu lakini bado hujapata jibu sahihi
Pole.
 
You have everything beautiful that you deserve to be extremely loved,kama kuna MTU anakuchulia tofauti hakudeserve hata kidogo,piga chini,futa na delete kabisa,..unaitaj MTU atakuwezesha kujisikia vizur tu na kuisaidia kujua nafsi yako vyema,ukiona MTU anakua tofauti na hayo kwako,hafai hata kusema jina lako,..You are most beautiful one I have ever seen,so be yourself is enough, to make my world go round,You are the princess and precious!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji7]
 
Back
Top Bottom