Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Sijawahi na siwezi ila nimewahi kuchukia baadhi ya kauli zao (nachukia kauli si mtoa kauli) iwe inanilenga Mimi au hata members wengine, kuna watu wanakauli chafu sana hawawezi eleze mawazo yao kwa ustaarabu
Hiyo kweli. Afu kumbuka ya kwamba jf. Kuna utani pia.
 
Humu wadau wanaakili nyingi sana sio ke wala me,
Mgeni ndio rahisi kuchukia, ila jamaa unakuta wanatukanana ukiwafuatikia utakuta kwenye jukwaa lingine wanapendana tena.
Mfano Siasa ni maadui michezo wote wako Barcelona au Chelsea.
 
Faiza foxy alikua anazingua sijui yuko wapi
 
Toa la moyoni bhana, Unaenda wapi labda
Nakimbia kwa sababu naogopa za uso kutoka kwa akina fulani!!....... But for me and my house we will stick with love since hate is too great a burden to bear!!
 
Umeamua uwaanike kabisa
 
espy na Kasie njooni huku mseme huwa mnamchukiaga nani![emoji125] [emoji125] [emoji125]............For me i have decided to stick with love since hate is too great a burden to bear!
Watakwambia wNakuchukia wewe. Kwa mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…