Ulishawahi kumchukia member wa JF pasipo kumjua

Toa mfano hao wakuelewe haraka ili kama ni kupigana mpigane yaishe
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umeamua uwaanike kabisa

Ukiangalia vizuri utakuta kabisa kuna ambao humo wanaweza kuwa wako ignored na Members zaidi ya hata 10, ila kuna watatu nimewaignore kwa sababu za kutetea mapenzi ya jinsia moja (ushoga), so ili nisikereke na posts zao inabidi tu nifanye hivyo.
 
Mambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.

Mimi namchukia mrisho gambo katafuna rambirambi yumo humu jukwaani anatumia ID.....
 
Ha ha ha, nasubiri kuona jibu lako na wewe.

Nakuona, kila nikijificha umeniibukia, ni nini lakini?
Hahahaa! Wacha tu niende na upepo unavyoenda.


Tatizo unapita barabarani ndio mana uwe unapita vichochoroni.

[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…