Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Za uso tenaa....Nakimbia kwa sababu naogopa za uso kutoka kwa akina fulani!!....... But for me and my house we will stick with love since hate is too great a burden to bear!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za uso tenaa....Nakimbia kwa sababu naogopa za uso kutoka kwa akina fulani!!....... But for me and my house we will stick with love since hate is too great a burden to bear!!
We unafikiri nakupenda (joke)Mbona mimi ccm [emoji3][emoji3]
Toa mfano hao wakuelewe haraka ili kama ni kupigana mpigane yaisheTuache unafiki kila mtu ana namna yake ya kumchukia mtu hata kama humjui..
Mfano: Huwa nachukia mtu wale wanaojiona ni manguli wa jukwaa fulani, na hao wanapatikana sana sana MMU, unakuta mtu kaanzisha uzi wake wa kuomba ushauri au msaada wa jambo fulani, mwisho wa siku wanatoke wale vihere here wanakuja kupindua mada husika na kuleta stori zao binafsi za kipuuzi ambazo kiuhalisia halikuwa dhumuni la mada husika..
Kiujumla wanawakwaza na kuwakasirisha watu kwa tabia zao za kilimbukeni.
Sababu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Wewe hapo
[emoji3][emoji3][emoji3]Sijawahi na sijui kama itakuja kutokea,kwann nimchukie wakati simfahamu?
-Pia mbali na kuto mfahamu hii ni jamii kwa hiyo hatuwez kuwa sawa woote,lzm tupishane.
-Na ukikuta unamchukia mtu humu ichunguze akili yako vizur.unaweza hisi mzima kume ww mgonjwa siku nyingi sana
Sijambo my. Ahsante kwa kunihamuHi mamito, nilikuhamu.
Umeamua uwaanike kabisa
Mambozzz
.
Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi.
Ila.
Haha. Waje tu wakupe umaarufuHahaha
Wanipe like, nahesabu tuu wenye chuki
Hahahaa! Wacha tu niende na upepo unavyoenda.Ha ha ha, nasubiri kuona jibu lako na wewe.
Nakuona, kila nikijificha umeniibukia, ni nini lakini?
Oooh, basi poa...Kuna watu siwachukii ila siwapendi pia, you can guess the feeling[emoji12] [emoji12]
Comment gani mama?
NshaifungaMbona haujafunga pm anza kuifunga kwanza.
Hiyo comment ni jiwe....Toa mfano hao wakuelewe haraka ili kama ni kupigana mpigane yaishe
Mimi kwa kweli kutoka moyoni najikuta nakupenda sana Emmyta.Hahahaa! Wacha tu niende na upepo unavyoenda.
Tatizo unapita barabarani ndio mana uwe unapita vichochoroni.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mimi nitakuchukia tu leo usiponikubalia lile ombi languSababu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nshaifunga
Nakuchukia sanaumeongea point. kuna baadhi yao humu. naona wanakuwaga na chuki na wenzao. unaweza mquote akakujibu shit balaa