Ulishawahi kumpenda mtu at the first sight? Tueleze ilikuwaje

mita 7 tu ukashindwa kuchukua hata namba?
 
[emoji478][emoji478][emoji478][emoji478]
 
Ilinitokea kwa pisi moja ivi ilikuja mtaani kwa mamdogo wake, hatukuwahi kuwa na mahusiano ila ndio mara ya mwisho kuuza mechi, yule mtoto ni mlaini sijawai ona.
Kwa sasa ni singo mazeri ananitafutaga anadhani sijui kama ana mtoto.

Mwingine ni majuzi tu, macho yalikutana nikamkazia akashusha yake kwa aibu(ana macho mazuri haswa), anakuja kurudia kuniangalia akakuta mwamba bado nampimia akatabasam nikajisemea mkeka umetiki, nikamfuata nikamsifia kapendeza na ni mzuri akashukuru, tukajitambulisha nikaomba namba akaomba zangu, nikampa. Bado nangoja anicheki 😎
 
Nimetani nielezee ila nimejikuta namkumbuka sana.
Nakumbuka after two months of dating alikuja akaniambia siku tuliyokutana tukafall in love ni siku aliyopeleka washenga kwa mwanamke.
Alilia haelewi afanye nini. Tulilia ila mwishoni ikabaki story kama Hivi.
Ngoja nikalie halafu nirudi nianze mwanzo πŸ₯Ή
 
Nilimpenda dada mmoja siku ya kwanza tu namuona,sauti aisee,ule ukaribisho wake .Tatizo washikaji zangu wakawa wanasema kameshupaa kama ka dume.Na mimi baada ya kutuliza wenge nikaanza kukaona ni ka manzi flani mkomavu .Nikatoka mkuku.
 
Chunga sana baba paroko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…