mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Ukikutana na mdada halafu yeye akawa anakukazia macho mpaka unajishtukia hapo si atakuwa anapitia 'love at first sight'?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mita 7 tu ukashindwa kuchukua hata namba?Mie ilinitokea kwenye airport moja nasubiri kubadilisha ndege ghafla uso kwa uso,macho kwa macho, tabasamu kwa tabasamu ....alikuwa ni msichana wa kiburushi tukajikuta tunasogeleana alikuwa umbali wa kama mita 17 hivi....wakati zimebaki mita saba ghafla tangazo ndege yake iko tayari anapaswa kuingia mstarini.....duuh tukabaki tukiangaliana tu kwa tabasamu kwa kadiri alivyokuwa anazidi kupotea ndivyo alivyokuwa anazidi kuwa mwekundu na kutokwa na mchozi walahii...sijui yu wapi kwa sasa.
[emoji478][emoji478][emoji478][emoji478]Kuna kashenz kamoja kalikuja ofsin dah ***Yaaan nilipo kaona tu nilikapenda kalikua kazuri sana niliforce nikapata no yake sio siri niseme tu ukweli ni moja wa wanawake namkubali sana nashukuru alini bless mambo na mm kwa kukapenda sana nilipiga kavu ili tu nafsi yangu iwe inajua nilisha mkojolea.
Nguvu ya upendo......mita 7 tu ukashindwa kuchukua hata namba?
YeahUkikutana na mdada halafu yeye akawa anakukazia macho mpaka unajishtukia hapo si atakuwa anapitia 'love at first sight'?
Ungeanza na story yako?Inaonekana we haujawi mkuu
Jamaa yangu hizo uwiii za nini sasaNikimuona demu mweusi awe na keshep atleast afanane kidogo na Grace matata uwiii nakuwa hapo naweka love at first sight
WanaJF tiririkeni Love at the first sight
Nilimpenda dada mmoja siku ya kwanza tu namuona,sauti aisee,ule ukaribisho wake .Tatizo washikaji zangu wakawa wanasema kameshupaa kama ka dume.Na mimi baada ya kutuliza wenge nikaanza kukaona ni ka manzi flani mkomavu .Nikatoka mkuku.
Chunga sana baba parokoMwingine ni majuzi tu, macho yalikutana nikamkazia akashusha yake kwa aibu(ana macho mazuri haswa), anakuja kurudia kuniangalia akakuta mwamba bado nampimia akatabasam nikajisemea mkeka umetiki, nikamfuata nikamsifia kapendeza na ni mzuri akashukuru, tukajitambulisha nikaomba namba akaomba zangu, nikampa. Bado nangoja anicheki 😎
Ndio mimi mdogo wakeNifanyie mpango kwa mdogo wake basi 😂😂😂😂
Ww nyokoh mi demu mxiewwww!!