Ulishawahi kumpenda mtu at the first sight? Tueleze ilikuwaje

Tunda kimasihara
 
Mpka Leo sijui maana ya kupenda kwa sababu mimi kila mtu huwa nampenda ila kwa mwanamke huwa kuna vitu natamani tu ila kama nikumpenda nampenda tu kama ninavyopenda viumbe vyote.
 
Mpka Leo sijui maana ya kupenda kwa sababu mimi kila mtu huwa nampenda ila kwa mwanamke huwa kuna vitu natamani tu ila kama nikumpenda nampenda tu kama ninavyopenda viumbe vyote.
Budha min-me
Om shanti min-me

Bless your heart buddy.
 
WanaJF tiririkeni Love at the first sight [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Nilienda kanisani kulikuwa na harambee kupata pesa ya ununuzi wa vyombo vya mziki,
Watu walikuwa wengi toka sehemu mbali mbali, at first sight wakati wa kutoa sadaka watu wanainuka kwa msitari.
Nikamwona binti mmoja nilivurugwa mpaka nikajishangaa nikajaribu kupotezea lakini wapi.
Nikasema kabla yakuondoka lazima nimtafute, nilipotiania hiyo kuvurugwa kuka tulia
Ibada ikaisha harambee ikamalizika, wakati naondoka nika mwona tukaongea nikaomba namba, akanipa,
Good thing kilicho fuata ni harusi,
Nimke wangu wa ndoa tuna watoto wawili
1:Nina furaha na hii ndoa
2;Ni mama bora kwa watoto
3:Ni wife material , KANISA lili pata pesa ya vyombo mimi nikapata mke, both teams to score
NAWASILISHA
 
Si uanze wewe kumcheki utasubiri hadi lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishawahi kukutana na Chotara la kitaliano wavuvi camp mzee mim maisha yangu yote Toka nimezaliwa sjawahi kukutana na mwanamke mzuri kama yule pamoja na kuishi kwangu kote DSM i swear to God Mungu ampe maisha marefu yule bidada kuna wanawake wameubwa
 
Halleluya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…