Ulishawahi kumpenda mtu at the first sight? Tueleze ilikuwaje

Ulishawahi kumpenda mtu at the first sight? Tueleze ilikuwaje

Ilinitokea kwa pisi moja ivi ilikuja mtaani kwa mamdogo wake, hatukuwahi kuwa na mahusiano ila ndio mara ya mwisho kuuza mechi, yule mtoto ni mlaini sijawai ona.
Kwa sasa ni singo mazeri ananitafutaga anadhani sijui kama ana mtoto.

Mwingine ni majuzi tu, macho yalikutana nikamkazia akashusha yake kwa aibu(ana macho mazuri haswa), anakuja kurudia kuniangalia akakuta mwamba bado nampimia akatabasam nikajisemea mkeka umetiki, nikamfuata nikamsifia kapendeza na ni mzuri akashukuru, tukajitambulisha nikaomba namba akaomba zangu, nikampa. Bado nangoja anicheki ๐Ÿ˜Ž
Tunda kimasihara
 
WanaJF tiririkeni Love at the first sight [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Nilienda kanisani kulikuwa na harambee kupata pesa ya ununuzi wa vyombo vya mziki,
Watu walikuwa wengi toka sehemu mbali mbali, at first sight wakati wa kutoa sadaka watu wanainuka kwa msitari.
Nikamwona binti mmoja nilivurugwa mpaka nikajishangaa nikajaribu kupotezea lakini wapi.
Nikasema kabla yakuondoka lazima nimtafute, nilipotiania hiyo kuvurugwa kuka tulia
Ibada ikaisha harambee ikamalizika, wakati naondoka nika mwona tukaongea nikaomba namba, akanipa,
Good thing kilicho fuata ni harusi,
Nimke wangu wa ndoa tuna watoto wawili
1:Nina furaha na hii ndoa
2;Ni mama bora kwa watoto
3:Ni wife material , KANISA lili pata pesa ya vyombo mimi nikapata mke, both teams to score
NAWASILISHA
 
Ilinitokea kwa pisi moja ivi ilikuja mtaani kwa mamdogo wake, hatukuwahi kuwa na mahusiano ila ndio mara ya mwisho kuuza mechi, yule mtoto ni mlaini sijawai ona.
Kwa sasa ni singo mazeri ananitafutaga anadhani sijui kama ana mtoto.

Mwingine ni majuzi tu, macho yalikutana nikamkazia akashusha yake kwa aibu(ana macho mazuri haswa), anakuja kurudia kuniangalia akakuta mwamba bado nampimia akatabasam nikajisemea mkeka umetiki, nikamfuata nikamsifia kapendeza na ni mzuri akashukuru, tukajitambulisha nikaomba namba akaomba zangu, nikampa. Bado nangoja anicheki [emoji41]
Si uanze wewe kumcheki utasubiri hadi lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishawahi kukutana na Chotara la kitaliano wavuvi camp mzee mim maisha yangu yote Toka nimezaliwa sjawahi kukutana na mwanamke mzuri kama yule pamoja na kuishi kwangu kote DSM i swear to God Mungu ampe maisha marefu yule bidada kuna wanawake wameubwa
 
Nilienda kanisani kulikuwa na harambee kupata pesa ya ununuzi wa vyombo vya mziki,
Watu walikuwa wengi toka sehemu mbali mbali, at first sight wakati wa kutoa sadaka watu wanainuka kwa msitari.
Nikamwona binti mmoja nilivurugwa mpaka nikajishangaa nikajaribu kupotezea lakini wapi.
Nikasema kabla yakuondoka lazima nimtafute, nilipotiania hiyo kuvurugwa kuka tulia
Ibada ikaisha harambee ikamalizika, wakati naondoka nika mwona tukaongea nikaomba namba, akanipa,
Good thing kilicho fuata ni harusi,
Nimke wangu wa ndoa tuna watoto wawili
1:Nina furaha na hii ndoa
2;Ni mama bora kwa watoto
3:Ni wife material , KANISA lili pata pesa ya vyombo mimi nikapata mke, both teams to score
NAWASILISHA
Halleluya
 
Back
Top Bottom