Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ohooo...mpka nasisimkwa mwili aiseh..what a love!ohooo @recycle...au nikupe avatar yangu upige nayo picha..imekaaje hiyo...

Afu we nae mbona ulikuwa huniambii sasa

Kwani michango inakuja na picha gani [emoji3590]..

Atakuwa P nini?

[emoji3] picha tamu inareflect uhalisia fulani. Nadhani mda sahihi wa kuambiwa hilo ndio huu umeshafika na umeujua ukweli.
Michango kwa 95% inaonesha we ni mtu wa aina gani(ndio inakuidentify). You are very charming and beautiful through comments, 99% ya yanayohusiana nawewe huwa unarespond vizuri. Kwa lugha rahisi wanasema upo sosho mama.

P ndio nani huyo? Isijekuwa umemaanisha Pisi kali [emoji16]
 
Neno mkuu..
 
Kuna mtu nilimpendaga humu jf. Jamani alinitesa sana..namuwaza 24/7. Aliniteka vibaya mno na nilikuwa tayari kwa lolote...ila akawa na moods za ajabu ajabu tukaachana ila nilimpenda for real.
Nasoma comments zake zote na avatar yake matata sana ni picha yake halisi.
.
.
Tuliachana bila kuonana. Utakaposoma hii comment jua kwamba ni kweli nilikupenda na mipango yote niliyowaza juu yako ilikuwa ya kweli.
Nimeshamove on, na Jana ndo nimefuta namba yako wakati napitia contacts kwenye phone book.
 
Duh

Kumbe nilichezea bahati
Aisee[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Yeah I guess through creativity of the mind, we create our own people through their comments, their own description of themselves and Lord knows what else.

Ila sasa wanafeligi wanapoji mwambafy afu ukakuta the opposite is true.
 
Mood swings can really ruin things.

But you should have told him you were sorry.... Pride sucks when it makes you lose someone.
 
Duh

Kumbe nilichezea bahati
Aisee[emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji3][emoji3][emoji3] sio wewe. Yaani baada ya kuachana (hatukuambiana tumeachana tulipotezeana tu). Nikawa namchungulia kila dakika, nafatilia comments zake...akiflirt na wadada naumiaaaa. Dah mapenzi ya kipuuzi sijawahi ona. Am glad nilitoka huko...
 
Dah aisee [emoji23][emoji23][emoji23]

Pole mrembo
Ulimwambia lakini kama unampenda??
 
Mood swings can really ruin things.

But you should have told him you were sorry.... Pride sucks when it makes you lose someone.
Tatizo lake lingine mkichat anataka umjibu hapo hapo. Yaani ushikilie simu masaa yote mkiwa mnawasiliana...ikipita robo saa hujamjibu anakasirika humjali[emoji3][emoji3], dah alinitesa
 
JF member anaitwa utafiti sijui daah nlikua nampenda. Sijakuona kitambo hadi jina linanipotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…