Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Nishawahi mpenda mtu simjui ata sura, tukadate na kuaachana bila hata kuonana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mapenzi upofu kwahiyo hamna umuhimu wa sura [emoji23]

Umenikumbusha mbali, Miaka 14 iliyopita niliwahi kutangaza Radio one kipindi cha marafiki. Nikapata marafiki wengi, ila akatokea mrembo mmoja Vero.. nilimpenda, tukapendania kwenye simu , tunaongea usiku kucha.. tukaachania kwenye simu .. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2] Maisha haya
 
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]....

Weee maskini kumbe nakuvuruga[emoji848]
Asante sana mpenzi [emoji3344][emoji3344]

Ila hisia ni kitu cha ajabu sanaaa

[emoji3059][emoji7] im in love with your avatar bila kusahau michango yako humu jukwaani na nadhani wengi wanashawishika zaidi na hili la uchangiaji mada humu ndani.

Kuna mwingine nampendea jina [emoji8][emoji8]
 
Carleen ingekuwa ngumu kuja direct tena kwa mtu ambae hanifahamu kama wewe. Niliendelea kufurahi kila mara nilipoona postszako humu JF, hata kuna kipindi uliwahi kupost kitanda kinauzwa kama sikosei ni 250k, sio siri nilitamani niwe mteja wako wa kwanza kabisa.
Pengine nimshukuru tu muanzisha uzi kwani hatimae amefanikisha lengo langu la kutamani siku moja upate japo nafasi ya kujua tu kuwa kuna mtu humfahamu hakufahamu ila anakupenda tu automatically.
Whooosh'..!
Vile napenda kupendwa Mimi jamani, shukrani sana Fohadi ni baraka mno kuskia hili, next time wewe jilipue tu, mbona wenzio wanajilipua kutoa ya moyoni.??
 
[emoji3059][emoji7] im in love with your avatar bila kusahau michango yako humu jukwaani na nadhani wengi wanashawishika zaidi na hili la uchangiaji mada humu ndani.

Kuna mwingine nampendea jina [emoji8][emoji8]
Ohooo...mpka nasisimkwa mwili aiseh..what a love!ohooo @recycle...au nikupe avatar yangu upige nayo picha..imekaaje hiyo...

Afu we nae mbona ulikuwa huniambii sasa

Kwani michango inakuja na picha gani ❤️..

Atakuwa P nini?
 
Ohooo...mpka nasisimkwa mwili aiseh..what a love!ohooo @recycle...au nikupe avatar yangu upige nayo picha..imekaaje hiyo...

Afu we nae mbona ulikuwa huniambii sasa

Kwani michango inakuja na picha gani [emoji3590]..

Atakuwa P nini?
Myamalize jamani nimewawekea viti na glass za maji kule sebuleni PM hamjakwenda tu kuongea.
 
Umenikumbusha mbali, Miaka 14 iliyopita niliwahi kutangaza Radio one kipindi cha marafiki. Nikapata marafiki wengi, ila akatokea mrembo mmoja Vero.. nilimpenda, tukapendania kwenye simu , tunaongea usiku kucha.. tukaachania kwenye simu .. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2] Maisha haya

Au ndo wewe jiwe
 
Back
Top Bottom