Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ooh hapana gari tutatafuta wote tu [emoji3] tatizo haka kababe kelphin kepph kaliahidi kenyewe katanipa gari eti ana uwezo ye ni tajiri mwaka wa 5 huu kimya[emoji849]
Mmmhh basi bhana hadi mnapeana ahadi sijajuwa location ilikuwa wapi ,ngoja niimbe v mistari vya 20%

Najiweka pembeni naepusha msongamanoo, mola nijalieee nipate wangu namiee........!!
 
Carleen ingekuwa ngumu kuja direct tena kwa mtu ambae hanifahamu kama wewe. Niliendelea kufurahi kila mara nilipoona postszako humu JF, hata kuna kipindi uliwahi kupost kitanda kinauzwa kama sikosei ni 250k, sio siri nilitamani niwe mteja wako wa kwanza kabisa.
Pengine nimshukuru tu muanzisha uzi kwani hatimae amefanikisha lengo langu la kutamani siku moja upate japo nafasi ya kujua tu kuwa kuna mtu humfahamu hakufahamu ila anakupenda tu automatically.
Mkuu unaitwa kule PM na Carleen nishawawekea na viti na glass za maji.
 
Habari za wakati huu wakuu!!
Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa jf kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta unampenda mtu usiemfahamu.

Mara kadhaa hali hii huwatokea watu na ushahidi anao kila aliewahi kutokewa na hali hii. Note: sio lazima umpende kimapenzi japo inatokea kuna wengine anapenda tu japo aone comments zako au kila anapoingia online lazima apitie profile kwako au timeline yako.

Mbaya zaidi sasa, watu wanaogopana sana humu ndani kiasi kwamba hata ukivutiwa nae au amevutiwa na wewe unapata/anapata shida anaanzanje/unaanzaje kumuaminisha kuwa wewe ni mtu mwema kwake na huna nia ovu.

Mkijitahidi sana mtachat PM akiona niaje niaje anakupiga block kimasihara. Offcoz nafahamu wapo wengi wenye mgongano wa aina hii ya kuvutiwa na baadhi ya watu hususani humu ndani watatoa ushuhuda hapa.

Ninae mpenda akisoma hii thread atajijuwa.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Usihame mgahawa yule mdada ataumia moyo
 
I love you and you know nilikua nakujaribu tu baada ya kuimba huo wimbo wa 20% wako huo[emoji3]
Yani kwa jinsi navokupenda huwa nikitaka kureply text yako kwenye chating huwa naanza kupunguza sauti ya TV hahahahaha
 
Back
Top Bottom