Malume
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,016
- 1,886
Inatokea sana, mimi nakaribia hadi kufa maana kuna mdada nampenda sana halafu ni zaidi ya mwezi sasa hajaingia Jamii Forum, nahisi mwili umezimia kabisa, sijawahi kumuona wala kuwasiliana nae ila the love i have for her is too much
Baada ya kugundua hajaingia humu muda mrefu nilijisemea ngoja nisepe JF mazima na sitarudi tena, leo nimeamka amenijaa kichwani nikashindwa kuvumilia mtu mzima nikazama PM, bahati mbaya PM imefungwa na last seen yake ni mwezi uliopita[emoji24][emoji24][emoji24]