Binkcarter
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 413
- 460
Nishawahi mpenda mtu simjui ata sura, tukadate na kuaachana bila hata kuonana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapenzi upofu kwahiyo hamna umuhimu wa sura [emoji23]
Umenikumbusha mbali, Miaka 14 iliyopita niliwahi kutangaza Radio one kipindi cha marafiki. Nikapata marafiki wengi, ila akatokea mrembo mmoja Vero.. nilimpenda, tukapendania kwenye simu , tunaongea usiku kucha.. tukaachania kwenye simu .. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji2] Maisha haya