Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Hapo umenena kuna kajamaa kanajiita infantry soldier kalikuwa kanakuja sana PM niliwahi kukastukia kuna Siku alifanya jaribio la udukuzi nilistukia kwenye email address fake nayotumia kuna notifications nikaacha amalize kazi yake
 
Hiyo ndiyo sababu ya Ibrahim infantry soldier kuniwinda ila nilimuwekea mtego wa kumjua na nishamjua
 
Binafsi kama kuna mtu ananifatilia kwa nia mbaya namkaribisha, kwa sababu ujinga wa watu kama hao huwa wanaamini sana kwenye uwezo wao wa kutimiza uharifu wao wasijue kama wanakoenda kufanya uharifu kukoje!! Wadau tuwe makini kulingana na wadau wengine wanavyotoa maoni hayo!!
 

Pole .. Jihadhari sana nae
 
Tatizo lake lingine mkichat anataka umjibu hapo hapo. Yaani ushikilie simu masaa yote mkiwa mnawasiliana...ikipita robo saa hujamjibu anakasirika humjali[emoji3][emoji3], dah alinitesa
Deko hilo.

Tuko wapi achezee makonzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…