Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
[emoji125][emoji125][emoji125]Ohoooooooo...[emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji125][emoji125][emoji125]Ohoooooooo...[emoji3344][emoji3344][emoji3344]
Euyeee...thanks for the compliment Chief😘😘.[emoji3] picha tamu inareflect uhalisia fulani. Nadhani mda sahihi wa kuambiwa hilo ndio huu umeshafika na umeujua ukweli.
Michango kwa 95% inaonesha we ni mtu wa aina gani(ndio inakuidentify). You are very charming and beautiful through comments, 99% ya yanayohusiana nawewe huwa unarespond vizuri. Kwa lugha rahisi wanasema upo sosho mama.
P ndio nani huyo? Isijekuwa umemaanisha Pisi kali [emoji16]
Euyeee...thanks for the compliment Chief[emoji8][emoji8].
Hapo kwenye beautiful[emoji1][emoji1]basi sawa..
Ila miandiko yakiboya sana unaweza kukuta hilo lichakorii lenyewe sasa[emoji1787][emoji1787]hukawii kudondoka mshtuko..
Haya maisha yenyewe yanatusumbuka wakati mwingine ukichukulia kila kitu siriazi unaweza kukata moto huku unatembea[emoji1]
Si yule uliyemtag kule Chief [emoji2]
Miaka ya nyuma kidogo enzi hizo secondary school, ndo facebook imeanza basi, nishapataga friend request kutoka kwa mdada mmoja anaitwa Patricia,basi nami sikua na iyana nilikubali na kuanza kuchati mambo ya kawaida kuhusiana na maisha.Hahahaha mkuu huu uzi unatamanisha nishushu mkasa wangu but nitarudi badee
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nimekumbuka mbali kidogo.
Yule manzi aliyeyusha sana moyo wangu,kila kitu kilienda OK mpaka namba tukapeana huko PM
Tena kutaka kumuaminisha kuwa mie sio mtu mbaya nikamwambia njoo bank fulani dirisha namba fulani NDIO MIE then nisubiri pembeni tusepe wote tukayajenge!
Dah akaomba mpk nauli kidume nikatuma 50 achukue UBER
Dah mpk naandika leo hii hajawah kutokea but namuona online na ana chat daily
POA BAANA ila nakupenda sana
Ana kila kitu kizuri am telling you..macho,lips, body, rangi nyeusi, sauti...uwiii nakojoaa
Hebu kausha masikitiko wewe.mimi nilipendana na mwana jf mmoja....siku tulivyokutana physically tuliongea baada ya kuachana akaniblock....i know sikumvutia coz nina sura mbaya sana (Najijua) na wala simlaumu hata mimi ningekua yy lazima ningeblock......
Sio kupenda kwangu lakini[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
😀😀 Usiombe yakukute[emoji23][emoji23][emoji23] demi bhana
Aisee...mbaya sanaDah nimekumbuka mbali kidogo.
Yule manzi aliyeyusha sana moyo wangu,kila kitu kilienda OK mpaka namba tukapeana huko PM
Tena kutaka kumuaminisha kuwa mie sio mtu mbaya nikamwambia njoo bank fulani dirisha namba fulani NDIO MIE then nisubiri pembeni tusepe wote tukayajenge!
Dah akaomba mpk nauli kidume nikatuma 50 achukue UBER
Dah mpk naandika leo hii hajawah kutokea but namuona online na ana chat daily
POA BAANA ila nakupenda sana
Nitapoa dada siku huyo shoga yako akitimiza ahadi ya kuonana sijui anahofia nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee pole
Acha tu dada yanguAisee...mbaya sana
Mkuu hii nimeielewa sana.Binafsi nimewasiliana na wanachama wengi humu ndani (ME + KE), lakini mbali na kuleteana masikhara na kudanganyana kule PM sijawahi kabisa kutaka kufahamiana na mtu humu ndani. Naamini kuna waliokuwa na nia njema na wako Genuine, lakini waovu, wauaji, watekaji, mamluki na matapeli wako wengi sana mitandaoni. Hivyo wale watu wema wanisamehe tu.........
Nashauri vijana, hata kama umependa na kuvutiwa na mwandiko wa mtu, fahamu kwamba huku kwenye mitandao kila mtu huonekana ni malaika japo uhalisia hauko hivyo. Nawafahamu watu ambao wameshaumizwa na kuvurugwa kisa haya mawasiliano ya humu JF, Twitter na Instagram. Binafsi nimewahi kutumiwa links za mitego na E-Mails nyingi huko PM.
Wengine wanaanzia mbali kwa kujenga urafiki mimi nawachora tu nasema Hiiiiiiiiiiiiiiiii. Huko PM nimepewa ofa kubwa za kufa mtu, wengine wanasema wananipenda sana (wanajaribu kunijaza Sweet-Nothing) , wengine wananiletea vitisho,wengine wanataka ushauri, wengine wananiletea umbeya na majungu, wengine wanakuja kunimwagia misifa. Sasa kama ukiwa na kichwa kibovu itakula kwako. There's No Free Lunch in the World: You Eat the Devil's Food, You Pay the Devil's Bill....
Ila kama umempenda mtu wewe jilipue at your own risk, lakini kaa ukikumbuka kwamba waliomo humu ndiyo haohao wa mtaani kwako. Tanzania ya leo imejaa watu waovu wengi mno, tumefika pabaya sana, kuwa makini (Be vigilant and don't have unrealistic expectations).....
Una nakosea ndugu Mgonga Like ???
Hahahahahaaa. Sijui nilikuwa nawahi nini!! Ningekuwa upande ule mwingine ningekuongeza tu ukawa mke mdogo[emoji1][emoji1].Jamani I'm grateful mkuu [emoji122] hivi kwanini ulioa mapema aisee(joke)[emoji849] i love you too rafiki!
[emoji23][emoji23][emoji23]Ebu kaa kwa kutulia mkuu, tena una mke huna hata huruma mzee baba.