Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Kwanza nini maana ya chakorii? Life is easy kwa baadhi ya mambo alafu usiniitie Chakorii wangu Lichakorii [emoji16]

Yule niliemtag kwenye huu huu uzi au kuna sehem nyingne ?
Maisha ya mitandaoni ni ya kiboya ujue😃

😆😆😆

Ehee bhana yule uliyemtag kwenye huu uzi.we nae mbona unasahau mapema hivyo
 
Hii ipo sana kuna mkaka humu JF nampendaga sijui hata kama ni mwanaume kweli[emoji27]
ID nyingi za kiume ni wanaume kweli, lakini zenye kuonesha mtumiaji ni wa kike miaka yote JF hizo ndio zimekuwa na utata...
 
Sahizi navaa pensi nyanyapuza na shati la mikono mirefu! Na Convesi nyekundu! Yeez bei ghali sana af viatu gani kama boflo vile?
😂😂😂wauza simu wa makumbusho watakumaind ohoooo, ila rangi nyekundu unaipenda msukuma wewe🙌🏽🙌🏽
 
😂😂😂wauza simu wa makumbusho watakumaind ohoooo, ila rangi nyekundu unaipenda msukuma wewe🙌🏽🙌🏽
Hahahaha wauza simu kumbe wanapenda ile mikate ya kanye West! 🤩🤩🤩

Mie si simba damu mama la mama
 
Back
Top Bottom