Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Kuna watoto wa kike kwa akili zao hapa watahisi kama nawapenda wakati mimi napenda wali maharage! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo kwenye namba 387 hakuandika BAK.
Usithubutu kuamini kile kitu ambacho sijakitamka rasmi😃😃usiuzingatie sanaa...maana humu kuna watu nacommentiana nao kama tunajuana😄😄hatari sana.
Mi mwenyewe kuna kipindi mwandiko unanisnitch.
 
Hii kitu ya kumpenda mtu ambaye hata hujui anafananaje nilipoisikia kwa mara ya kwanza kwamba watu wamefall in love mtandaoni hawajawahi kuonana hawajawahi kutumiana picha nilisema hawa Wazungu sasa wamezidi. Utampendaje mtu ambaye hujawahi hata kumuona? Mtazamo wangu ulibadilika nilipoingia humu na kuona ni kitu ambacho kinawezekana kabisa kwa mtu kuvutiwa na mtu kutokana na michango yake, anavyopanga hoja zake au kupangua hoja za wengine.
 
Hahahahaha lol! Itikadi yangu ni Tanzania yetu kusimama imara na kuwa na umoja na mshikamano. Hii Tanzania ya sasa iliyojaa dhuluma na udhalimu wa kutisha siipendi hata kidogo. Kusema kweli naiona kama foreign country ambayo sipendi mwelekeo wake na si mimi tu bali watu wangu wengi wa karibu ndugu, jamaa na marafiki wana mtazamo kama wangu.
Kwa sababu wewe unahitikadi kali sana za chama nikaamua nikutenge peke yako usijeniharibia vijana wangu😄😄😄
 
Hii kitu ya kumpenda mtu ambaye hata hujui anafananaje nilipoisikia kwa mara ya kwanza kwamba watu wamefall in love mtandaoni hawajawahi kuonana hawajawahi kutumiana picha nilisema hawa Wazungu sasa wamezidi. Utampendaje mtu ambaye hujawahi hata kumuona? Mtazamo wangu ulibadilika nilipoingia humu na kuona ni kitu ambacho kinawezekana kabisa kwa mtu kuvutiwa na mtu kutokana na michango yake, anavyopanga hoja zake au kupangua hoja za wengine.
Huu utakuwa ni ugonjwa Mpya kama ilivyo corona
 
Hahahahaha lol! Itikadi yangu ni Tanzania yetu kusimama imara na kuwa na umoja na mshikamano. Hii Tanzania ya sasa iliyojaa dhuluma na udhalimu wa kutisha siipendi hata kidogo. Kusema kweli naiona kama foreign country ambayo sipendi mwelekeo wake na si mimi tu bali watu wangu wengi wa karibu ndugu, jamaa na marafiki wana mtazamo kama wangu.
Sawa kabisa BAK.haya sasa turudi huku maana sijawahi kuipenda siasa hata kidogo aiseh..
 
Back
Top Bottom