Duuuh pole sana mkuu. Yatakwisha haya ipo siku atakuja.Inatokea sana, mimi nakaribia hadi kufa maana kuna mdada nampenda sana halafu ni zaidi ya mwezi sasa hajaingia Jamii Forum, nahisi mwili umezimia kabisa, sijawahi kumuona wala kuwasiliana nae ila the love i have for her is too much
Baada ya kugundua hajaingia humu muda mrefu nilijisemea ngoja nisepe JF mazima na sitarudi tena, leo nimeamka amenijaa kichwani nikashindwa kuvumilia mtu mzima nikazama PM, bahati mbaya PM imefungwa na last seen yake ni mwezi uliopita[emoji24][emoji24][emoji24]
Jax ni nini?Mwanaume na uzuri wa sura wapi na wapi mzee mama?
Wewe sema tu labda hakuwa na jax.
Na akatuma na ya kutolea [emoji3][emoji3
Niliongeaga na mtu kwa simu ile sauti khaaaa nikahisi yani mtu mtu kweli, mwili mwili, fua fua baba....nlichokuja kukiona daaah ile sura hapana asee
Sa we nawe mwanaume gani anaitwa Evelyn tehKumbe KE halafu unaniambia ME unataka kuninyima nini momy.
Nakuja fungua mlango tafadhari.
Kama ni swala la njaa sawa, ila mapenzi mapenzini sura muhimu pia.Jax ni hela. Hahaha mwanaume hasifiwi sura kweli bana.
Na kujikojolea juu😂😂😂Nyege za wanaume zipo njenje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We boya umeshalegezwa
Kama nayaona ulokutana nayo najiskia kucheka mkuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hizi ID zinaficha mengi sana......get prepared for "disappointments"!
Unaweza kuona ID kama ya kike na profile ya kuvutia... kumbe ni njemba! Wengine ni wadada na sauti nzuri hasa, kutana nae sasa....!
Wengine wakongwe humu, tumeshapitia mengi!
Mkuu weka ulopitia[emoji23]Hizi ID zinaficha mengi sana......get prepared for "disappointments"!
Unaweza kuona ID kama ya kike na profile ya kuvutia... kumbe ni njemba! Wengine ni wadada na sauti nzuri hasa, kutana nae sasa....!
Wengine wakongwe humu, tumeshapitia mengi!