Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Hizi ID zinaficha mengi sana......get prepared for "disappointments"!

Unaweza kuona ID kama ya kike na profile ya kuvutia... kumbe ni njemba! Wengine ni wadada na sauti nzuri hasa, kutana nae sasa....!

Wengine wakongwe humu, tumeshapitia mengi!
 
Pole MKUU. Naona kama huna hamu kabisa hahahaha
 
Dah umenkumbusha mbali sana mie nshawahi tongozwa na manz na nikatokea kumpenda vibaya mno mtanga yule kila baada ya nusu saa ananipigia video call,

Alinisapoti sana shuleni hasini hasini zilikuwa hazinipigagi chenga ila mwisho wa siku tukaachana bila hata kuonana sura face to face so hyo ipo mzee
 
dah umenkumbusha mbali sana mie nshawahi tongozwa na manz na nikatokea kumpenda vibaya mno mtanga yule kila baada ya nusu saa ananipigia video call,

alinisapoti sana shuleni hasini hasini zilikuwa hazinipigagi chenga ila mwisho wa siku tukaachana bila hata kuonana sura face to face so hyo ipo mzee
Daaah hatari sana why usimfatilie mkuu au hukumpenda?
 
Hizi ID zinaficha mengi sana......get prepared for "disappointments"!

Unaweza kuona ID kama ya kike na profile ya kuvutia... kumbe ni njemba! Wengine ni wadada na sauti nzuri hasa, kutana nae sasa....!

Wengine wakongwe humu, tumeshapitia mengi!

Poleee, wacha na sisi yatukute
 
Back
Top Bottom