Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Twitter tulijikuta tunapendana kuputia comments ikawa kila nikiingia Twitter cha Kwanza nikutafuta kacoment nini. Namkumbuka queen wangu wa twtter kama na humu upo moyo wangu bado unanafasi yako.
 
Hata ukinitaja najua sio mimi coz ulishaapa katu hutamtaja.😁😁

Huyu mtu bwana, huenda hata anajijua tu! Nizidi kukaa kimya, aliimba nani yule..."jifunze kunyamaza"😂😂
Mbona una kosa imani na mimi Eli79 jamani...😄😄nimeona bora nikutaje tu au unaonaje!!

Au ni mimi ila umenisahau tu Eli 🤪🤪🤪
Na kuna ule wimbo unaitwa “Yote Mema”aliimba nani yule vile....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Noma sana!!!
Mbona una kosa imani na mimi Eli79 jamani...[emoji1][emoji1]nimeona bora nikutaje tu au unaonaje!!

Au ni mimi ila umenisahau tu Eli [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Na kuna ule wimbo unaitwa “Yote Mema”aliimba nani yule vile....
Mnanichekesha nyie watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Si upumbavu ila utakuwa upumbavu pale utakaposhindwa kutaja[emoji23][emoji23][emoji23]

Watoto wa kike tumejitoa kimasomaso kutaja halafu wanaume mnashindwa jamani!
Mnaliangusha taifa.
Kama kushindwa kutaja ni upumbavu, basi na iwe hivyo😂😂😂.

Japo anapita sana kwenye hizi nyuzi kwa namna yake, hivi hajapita kweli 😂😂😂
 
Kama kushindwa kutaja ni upumbavu, basi na iwe hivyo[emoji23][emoji23][emoji23].

Japo anapita sana kwenye hizi nyuzi kwa namna yake, hivi hajapita kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo huwezi kabisa kumtaja??
Basi jitose PM umwambie.
 
Back
Top Bottom