Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Hivi huo muda wa kuanza kujibanza huwa mnautolea wapi mwisho mje mng’atwe na tandu buree..

Siku nyingine mmekubalia kuonana sehemu nenda kawaida acheni hizi Habari za kuwindana mtakuja vunjika miguu buree..
Kinachofanya watu wanajificha ni pale ambapo wewe kichwani una picha ya beyonce, unashangaa linatokea guluguja la maana... unaachaje kula kona? Mbaya zaidi ukute huko pm mmeshafika mbali hapo mmekutana kumalizia tuu..😂
 
Kinachofanya watu wanajificha ni pale ambapo wewe kichwani una picha ya beyonce, unashangaa linatokea guluguja la maana... unaachaje kula kona? Mbaya zaidi ukute huko pm mmeshafika mbali hapo mmekutana kumalizia tuu..😂
Ndo muachege sasa kuwa na mategemeo makubwa kwa watu...unaona mabalaa hayo sasa!!mtakuja kuvunja ngongoti mkufe buree
 
Habari za wakati huu wakuu.

Wakuu hadi naandika hapa binafsi huwa natokewa na hali hii for instance, kupitia mitandao ya kijamii mfano, hapa JF kupitia mada au comment za mtu unaweza jikuta unampenda mtu usiemfahamu.

Mara kadhaa hali hii huwatokea watu na ushahidi anao kila aliewahi kutokewa na hali hii. Note: sio lazima umpende kimapenzi japo inatokea kuna wengine anapenda tu japo aone comments zako au kila anapoingia online lazima apitie profile kwako au timeline yako.

Mbaya zaidi sasa, watu wanaogopana sana humu ndani kiasi kwamba hata ukivutiwa nae au amevutiwa na wewe unapata/anapata shida anaanzanje/unaanzaje kumuaminisha kuwa wewe ni mtu mwema kwake na huna nia ovu.

Mkijitahidi sana mtachat PM akiona niaje niaje anakupiga block kimasihara. Offcoz nafahamu wapo wengi wenye mgongano wa aina hii ya kuvutiwa na baadhi ya watu hususani humu ndani watatoa ushuhuda hapa.

Ninae mpenda akisoma hii thread atajijuwa. Na naomba usione soo mama njoo PM niambie nitakupokea kwa mikono miwili. Huwezi juwa huwenda mimi ndo fungu lako!

Au nasema uongo ndugu zangu?

Daaah!!! huu Uzi umenigusa Moja kwa moja aiseeeeee
Ila Bado najihakikishia ni kweli Ni yeye Ndo anaichanganya Akili yangu japo Ximujui Au ni Mimi Najichanganya Tu....[emoji2315][emoji2315][emoji2315]
 
Back
Top Bottom