Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

Kumbeee...ngoja kesho na keshokutwa uje ukutana na yule mtu anafanana kama Joti wakati anaigiza vile vituko vyake.sasa pata picha,ile suruali ya Joti,kofia yake iliyokaa upande,alivyoikunja chini,kapandisha mayeno,ule mshati 🤓lazima uvunje ugoko
😂😂😂😂😂niache kwanza
 
Noelia we dada unanvutiaga sana hasa iyo avatar yako. Huwa na-imagine upoje upoje? Siku moja nitajitosa piemu!
 
Impliedly huwezi zungumzia kitu ambacho hukimaanishi af mie lini nimeanza kuwa dogo kwako? Hebu tia adabu kidogo mama[emoji41] kuna watu wengi sana naheshimiana nao humu!
Ndiyo niliposema wanaume wengi wa Arusha ni wazuri wa sura nilimaanisha! Lakini hakuna mahali niliposema eti Mimi nikipenda mwanaume naangalia sura!

Tofautisha kati ya kumpa mtu sifa yake na kumtaka kimapenzi hapo ndiyo ulijichanganya! Halafu kumbe siku zote ulijuaga wewe ni mkubwa kwangu dogo!
 
Sasa unampendaje mtu hujawahi kumuona[emoji2297][emoji2297] hicho nacho ni aina ya kichaa kwakweli.
Pitia comments za watu haiwezekani wote wanao thibitisha waliwahi kupenda wasiemfahamu wakawa vichaa wewe peke ako ukabaki mzima mkuu.

Ila nimecheka ulivosema kichaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kweli huku Ni kupatwa kwa upendo, ukinibumba kwenye imagination yako unapata mtoto flani mkali mwenye guu la bia eeeh
Hahahaha mi ulevi wng sura tu,sijuh kiuno,takro au guu ivyo kwng nyongeza. Mungu antie nguvu nipate ujasiri wa kuja uko PM tuyajenge [emoji4]
 
Back
Top Bottom